MADIDINGWA
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 118
- 15
Habari zenu wana JF.
Hili jambo linanitatiza sana, nimeona leo niliweke hapa ili niweze jua na kupata pia mawazo yenu, mwanaume akipata gf mpya anamtusi yule wa zamani, tena baada ya muda anarudi kuomba samahani eti muendelee na mahusiano kama hapo awali, hv huwa mnakosa nini huko mlikokwenda na kurudi tena mlikotoka? hebu nisaidien jamani mm kwangu imekuwa hvyo, kila nikiachana na bf lazima atarudi tu kuomba samahani ili tuendelee haijalishi ni muda gani umepita.