Wanaume nao wavae pete za "engagement"

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,868
Reaction score
10,496
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?

Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?


Ifike wakati Me nao wavae
 
unashangaa za hizo wakati wengine baada ya harusi anavua anaweka kabatin na ukiuliza unaambiwa inanibana sana,,,,,,achana nazo hizo
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?

Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?


Ifike wakati Me nao wavae
Kwani huwa wanalazimishwa kuvaa? Si ni vihele hele vyenu ndo huwa vina sababisha mvae. Ili mjionyeshe kwa ati mna wachumba.
 
Wanatakiwa kuvaa ila kuna sababu kama alergy,pete kubana kutokana na unene au kukosewa kutengenezwa nk.nk. ambazo humfanya mtu kushindwa kuvaa pete.
 
Mi nadhani ni muhimu kwa mwanamke kuvaa ili kupunguza usumbufu/vishawishi vya kutongozwa. Ila wanaume kwa kuwa hawatongozi umuhimu wa kuvaa pete ni mdogo.
 
Pete mbembwee tuuu sijaona hata kwetu wakrito imeandikwaga wapi tuvae pete! by z way ni nzuri na ikikuchusha vua na kuwa nayo haikuzuii kufanya mambo yako yoyotee ni wewe tu na utu wako.
 
Sasa Kama Tunapiga Push Up Kama Za Maguful Si Zitatuumiza Vidole?
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?

Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?


Ifike wakati Me nao wavae

Hahahahahaha na kwel
 
Pete za ndoa mnavaa wote (mwanamke na mwanaume) maana WAMEOANA, WAMEFUNGA NDOA....

ndio maana cheti wanasaini wote


Kama ilivyo uchumba na unachumbiwa wewe basi na wewe ndie unaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…