Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Wewe.......hujambo lakini........
Sijambo bana...... Habari za Yaenda!,
Huku kwetu uvuvi unaendelea kama kawaida!.
Wewe.......hujambo lakini........
Sijambo bana...... Habari za Yaenda!,
Huku kwetu uvuvi unaendelea kama kawaida!.
Yaeda si nilihama........nipo Bashnet siku hizi bana.......hivi huku hujafika eeeeeh.........
Da huko sijafika bana. Nihonge basi nipate nauli nije nikusabahi mwaego!.
Hebu angalia m-pesa yako..........saa hii......
Mashonga humu jf mmh! niyakumwanga