yaap maana cheating nacho ni kipaji hujajaaliwa huwezi cheat na hawa watu wa nadharia sahivi utalia hadi basi
Pesa mwanahizaya babu na bibi hawakuzipa kipaumbele, heshima na upendo vilikuwa nguzo walivumiliana kweli kwa shida na raha.
Mambo yamebadilika siku hizi maisha magumu akuvumie nani, mwenye meno makali ndo anayekula nyama.
Duh..... yaani vyote hivi kisa kuogopa kuchapiwa? Kumbuka hukumkuta virgin, na alishakusimulia juu ya X- wake wote 6 . Hiyo hela ni bora unywee supu, ujenge mwili. Kama utam control kwa fedha, mwisho wa siku wewe ndie utakayeonekana looserAlshabab tuliza bongo,chora mchongo piga deal tengeneza pesa,mbona channel kibao tu,utabamba watoto kama kusukuma mlevi,watajilengesha mpaka uwakimbie coz wanachotaka MATUNZO ya bei mbaya sio shopping mbuzi,inatakiwa mtoto avae desiner things kuanzia nguo, viatu,designer handbags eg Prada,Channel,Gucci,Jimmy Choo,chupi Lacenza na akivaa mara moja inatupwa na harudii na anabadili 4 times a day,viatu si chini ya pairs 100,handbags 50.Kumbuka ana magari makali saana top of the range fully loaded na ana dereva wa kumuendesha coz yeye akiendesha nguo zitajikunja.
Daah basi kama na hapo atafungulia mbwa wake mimi naenda India kutafuta mke wa kibaniani bhana.Duh..... yaani vyote hivi kisa kuogopa kuchapiwa? Kumbuka hukumkuta virgin, na alishakusimulia juu ya X- wake wote 6 . Hiyo hela ni bora unywee supu, ujenge mwili. Kama utam control kwa fedha, mwisho wa siku wewe ndie utakayeonekana looser