Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,268
- 4,065
Kosa ulilolifanya no kukubari kuzaa wakati mwenye mimba aliikataa mapema kabisa. Ungetoa tu au huoni masimango ya single mother huku.
Hakuna mwanaume was kumdhuru mwanao hill wala usijari ila kuna wanaume wachache was kuishi na mwanamke mwenye mtoto!!!!
Hakuna mwanaume was kumdhuru mwanao hill wala usijari ila kuna wanaume wachache was kuishi na mwanamke mwenye mtoto!!!!