Wanaume na wake zao

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
15,178
Reaction score
14,386
Wanaume wakiwa kwenye semina wakaulizwa, mara ya mwisho kumwambia mke kuwa wampenda ni lini? wengine wakasema leo asb, wengine muda sio mrefu.
Mwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake
Majibu yalikuwa hivi:
1.Unaota au?
2.Umekumbwa na nini?
3.he unasenaje?
4.Utanieleza hii sms ulikuwa unatuma kwa nani!?
5.Leo sikusamehe najua kuna kitu!?
6.Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7.Najua tu tayari kuna kitu.
8.Wewe sema unachotaka.
9.Leo hunipati ng'o!
10.Nani mwenzangu?
 
theeee...theeee....
Ama kweli dunia gunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…