Wanaume na tabia kama ya paka

Wanaume na tabia kama ya paka

Mi sio paka mkuu, ni binadamu wa kawaida tu

mkuu sijasema wewe ni nyauuuuu, hapana bali tabia hiyo ya wanaume inafanana kabisa na ya nyauuuuuu.
 
Yaani nachukia kusika habari za michepuko,kuchepuka....jamani hebu ifike mwisho tuache hizo mambo....

Mbona mi siwezi kuchepuka??? ooooh mamaaa.....:loco::loco:

umemalizia vizuri mbona wewe huwezi, sasa wewe ni yeye?
 
Mwanaume ni sawa na kunguru hata umfuge vip porin atarudi tu.
Mwanamke uliyenaye anaweza kuwa na kila sifa ya uzur na ndani ni aman kabisa lakin akikatiza mwngine lazma anyakuliwe hata kama hana sifa kama za mke wake.
Najiuliza sana sijui kwann hii hali imetukumba sana wanaume

tatizo kubwa ni MACHO mkuu, tukiweza kuyadhibiti basi, wakristo tumeagizwa tung'oe viungo vinavyotupeka jehanamu kwa kuwa ni heri kupoteza kiungo kimoja kuliko kuangamiza mwili mzima.
 
Kwahiyo wewe JEKI ni Paka????????
 
Last edited by a moderator:
Sikuelewi unajua??????? kwamba unanipenda hapo hapo unalala na mwanamke mwingine kwavile una tabia kama paka?
Ngumu kumesa!
 
Mimi bonge ya kimbulu nahitaji hii kitu funguo zitabaki highway!! 107.jpg
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya paka anayetafutiwa na apaka anayejitafutia...

Kati ya hao nani anayeweza chepuka kumzidi mwenzie?

Paka wa mijini wanalazimishwa kabisa kukimbiza panya..

(lugha ya sanaa hii... Ujumbe usadifu yaliyomo!)
 
Hebu fupisha story bana watu tuko bize na issue za hela, hiyo story ilitakiwa iwe na paragraph moja tu
 
tatizo kubwa ni MACHO mkuu, tukiweza kuyadhibiti basi, wakristo tumeagizwa tung'oe viungo vinavyotupeka jehanamu kwa kuwa ni heri kupoteza kiungo kimoja kuliko kuangamiza mwili mzima.

mkuu sijui kwann tamaa hyo haishi!
 
Yaani nachukia kusika habari za michepuko,kuchepuka....jamani hebu ifike mwisho tuache hizo mambo....

Mbona mi siwezi kuchepuka??? ooooh mamaaa.....:loco::loco:
naomba nikufundishe kuchepuka...inasaidia sana kwenye foleni
 
kwahiyo wewe una tabia ya paka ??????????????

hapana, soma vizuri utaelewa, nimesema wanaume wana tabia KAMA ya paka, si tabia ya paka, neno kama lina maana kubwa, ukisema ya paka unakosea.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya paka anayetafutiwa na apaka anayejitafutia...

Kati ya hao nani anayeweza chepuka kumzidi mwenzie?

Paka wa mijini wanalazimishwa kabisa kukimbiza panya..

(lugha ya sanaa hii... Ujumbe usadifu yaliyomo!)

Nimekupata.
 
Back
Top Bottom