sawa.. sasa kwa hii couple je huyu mwanaume anaweza kuwa anakwepa nn sasa, maana kama ni matunzo kweli mkewe hakosi kitu wanashirikiana vizuri kiasi kwamba ni wachache wanaojua hawana ndoa na hata kazini mwanaume amemwandikisha mkewe na wana affidavity ambayo mume alipotakiwa cheti cha ndoa alidanganya kazini kuwa kimepotea so wakaenda mahakamani kuomba affidavity. shida ni kwa nn hataki ndoa na mwanamke imani yake ya dini inamsuta hana ndoa!
mom tatizo sio kukosekana kwa ushauri ...........washauri wapo, na ndio hao wanaowapeleka vibaya
wasichana/wanawake wa kitanzania tunapenda kuiga au kushindana na wenzetu. hakuna anaeweza kusimamia kile anachokiamini yeye binafsi.
madhali fulani anatoa tigo na mwanamme hajamkimbia na mie nitafanya..............madhali fulani anaishi na mwanamme anahudumiwa na mie acha nijaribu....
hilo ndo linaloturudisha nyuma.......................kujiamini hakuna...
Hapo sasa. Imani inamsuta mwanamke baada ya miaka 10. Nadhani kuna pressure ya shoga zake hapo. Vinginevyo hiyo tactic delay ataielezeaje?nafikiri huyo mwanamme anaona ameshakaa nae miaka kumi anatoa huduma zote haoni MANTIKI ya ndoa.
mwanamke yeye imani tu inamsuta, mwanamme yaonyesha hana imani hiyo...........kwa nini aoe wakati kimsingi yuko kwenye ndoa tayari kivitendo?!
Ni kwa vile wanakuwa wanajaribu kama kweli huyo mtu atakuwa kama atakavyo au sivyo.Wanapenda kuwa na uhuru zaidi wa kumwacha mwanamke pale atakapotokea ambaye wanahisi ana vigezo zaidi.Sasa akiwahi kujifunga mapema itakuwa ngumu kwake kutoka.
Hapa itabidi tupate msaada wa wale watu wnaotumia lugha wanayoijua wao wenyewe. bht will be the best host for us! Ngoja aje atueleze kiufasaha kama huyo baba bado yuko single kiasi cha kupakia na kupakua mzigo kwenye gari lake wakati wowote anapotaka!how?....wacwac lazima uwepo coz jamaa anaweza kuhalalisha kwa mwingine na pingamizi lako halitachukuliwa serious ki vile kama ungekuwa na ndoa.
mi nashauri wanaume wote ambao HAWAJAOA wasioe wala nini!.....
ni kujizeesha tu.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
mi nashauri wanaume wote ambao HAWAJAOA wasioe wala nini!.....
ni kujizeesha tu.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
mi nashauri wanaume wote ambao HAWAJAOA wasioe wala nini!.....
ni kujizeesha tu.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
mhh kazi ipo, huyu wanamke ameshamuhoji huyo mr wake hayo maswali yote? na anaambulia majibu gani?....
mkuu, tafadhali fafanua hapo kwenye red.
Hata ukifumaniwa au fumania huruhusiwi kutoka? How and why
Na huyo mwanamke alikuwa wapi hadi wakakaa miaka 10? Kimetokea nini anaanza kudai ndoa leo wakati muda wote labda alikuwa kimya tu? Lazima ampe mumewe sababu za msingi kwa nini adai ndoa leo na siyo miaka 9 iliyopita!
Hapo sasa. Imani inamsuta mwanamke baada ya miaka 10. Nadhani kuna pressure ya shoga zake hapo. Vinginevyo hiyo tactic delay ataielezeaje?
Siyo rahisi kumwacha mwanamke uliyeishi naye miaka 10 na kuzaa naye watoto 4 hata kama hukumpenda. After all, wanaume huwa hawapendi bali wanajali zaidi huduma wanayopata na kufuata mazoea!
HEHEHEHE!Hebu tuhakikishie bila kuacha shaka lolote kama huo siyo ujanja wa kukwepa michango? Kumbuka Shy keshatangaza nia!!
majibu yake ni very simple, kwani hatuna ndoa? na umri huu bado unafikiri nitaenda kuoa wapi? na siku yuko vibaya atajibu tufanye mwezi wa tisa! na hiyo ni kwa kila mwaka sasa
si kwamba hiyo miaka 10 alikua kimya la! aliongea kuhusu ndoa na hata ndugu wakasaidia na mwisho wakamwachia mwenyewe aongee na mwezi wake na ndio hivyo miaka inazidi kusonga mbele na majukumu yanazidi kuongezeka!
HEHEHEHE!
tatizo hawa watu ukishaweka mambo vizuri ukambeba jumla jumla WANAOTA SANA MAPEMBE!
except my marriage!my marriage is f-u-c-k-i-n-g perfect!....
pamojaaaaz!haya teamo mtunze vizuri ukiona pembe zinatokea zikate mapema!
huyu mwanamke akiona vipi arudi kundini mwenyewe...
Tatizo la wanaume ni NEGATIVE THINKING.Mtu anaingia kwenye ndoa na mawazo kibao......mara mke wangu akimegwa itakuwaje....au atakuwa na kiburi..... Akizeeka je?
Haya yote yanatoka wapi?Kwa nini msiwze mema kwa wake zenu?
watu wanawaza hivyo kwasababu WANAWAJUA SANA WAKE ZAO,WANAJUA MAZINGIRA WALIYOKUTANA AT FIRST!kwa mfano mimi nilikutana na waifu kanisani wakati tunakomunika....unadhani nitafikiria uwezekano wa waifu kwenda jolly?...Tatizo la wanaume ni NEGATIVE THINKING.Mtu anaingia kwenye ndoa na mawazo kibao......mara mke wangu akimegwa itakuwaje....au atakuwa na kiburi..... Akizeeka je?
Haya yote yanatoka wapi?Kwa nini msiwze mema kwa wake zenu?
huku whiski inaruhusiwa kipindi cha baridi....ofisi yako wanaruhusu? haya mi nimeingia mkataba na ofc yangu no alcohol!
atawezaje mwenyewe? au unamaanisha waachane nyamayao? ila ni ngumu sana kumwacha mtu unampenda, mzazi mwenzio na zaidi ya kukataa kwenda mbele kusema "i do" hajakukosea kitu na anakujali na kukuonyesha upendo wa kweli, shida ni hiyo ndoa tu!