ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
hiyo nafsi ya kwanza umoja imenifikirisha mbali...
asante mkuu nimekufikirisha wapi....
hiyo nafsi ya kwanza umoja imenifikirisha mbali...
Dah... Sijawahi kukutana na hizi dhahma!
Eeh mola nisaidie...
Safiiiii...umenisisimua na dose yako murua...Big up sana.Mhh!! Kazi kwelikweli,ila tabia yoyote huanza na mazoea,nitajitahidi nimfundishe namna nzuri ya kusex bila ya kashikashi zote za namba 1&2,nitajitahidi nisimuongelee maneno mabaya juu ya tabia yake kwani kwa kufanya hivyo italeta hofu moyoni mwake mwishowe ndo asiweze kabisa,nitamtia moyo kwamba anaweza kufanya hiyo namna nzuri,najua haitakuwa rahisi ila nitavumilia mpaka aweze.
Nitajitahidi kuepukana na mazingira ambayo yanaleta hiyo kashikashi ya 1&2,nitapromot mazingira yale yaletayo namna nzuri.
Mwisho na kuu ni kuomba msaada wa Mungu anisaidie kumbadilisha,naamini kwa Mungu hakuna gumu.
Hii ishu ina ukweli, kwani ata mm nina jamaa rafiki yangu yeye kwenye mapenzi akimaliza lazima amg'ate anayefanya naye mapenzi, na anamg'ata barabara! mpaka mayowe wengi wakitoka apo hawarudi na mpka leo hajaoa (35 yrs nw), nimemshauri akamuone daktari wa akili bado hajaenda!!