Hahaha!!!!!!!!!!! kwenye mipira yao we msapoti tu kinakfi ukijifanya unajua na mwenzio kafungwa tegemea kibao................
bora ingekua siku moja,ndugu yangu
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
teh teh teh tatizo lako wakati uyo mwanaume anakutongoza hukumuuliza kua yeye ni shabiki wa timu gani... Uyo mwanaume ni shabiki wa asenali... Na utakoma mwaka huu teh teh teh
Thubutu,
Kwanza tunawapiga Liver za kutosha tu, kabla ya kuwashushia Maangamizi.
Mwaka huu Man U msiposhuka daraja najitoa JF.
Wenzako mbona wameshazoea! !!Kwangu mie km team yangu inacheza mm sichez ya 6*6!!NYIE MBONA SIMBA WAKIWA WANACHEZA SISI TUNAVUMILIA TENA SIKU 3 WENGINE MPAKA 5,THEN UWANJA UKAUKE NI. SIKU 7-10!!BAADHI YENU HUWA NA KISIRANI SN KIPINDI HICHO ..TUNAISHI NANYI KWA AKILI, NYIE JE??
umeshajiandaa kuondoka huku?
"Mlininukuu Vibaya Mkuu wangu"!!
Hakuna Njia ndefu isiyo na Kona, na Hata Kuteleza sio Kuanguka!!