wanaume na mipira yaooo!!!

akiwa anaenda kuangalia mpira mkumbushe ata kwa sms kuwa kuna mechi home inamsubiria................. me ningekuwa nimeolewa ningeatamani mwaka mzima kuwe na mpira ilia anune asiombe mechi,.......... ila asinune nikimwomba hela tu hapo kaugomvi katakuwepo kidogo....!
 
Arsenal tu huyo. Tatizo wameshinda mfululizo na timu ndogo mpaka wakajisahau sasa kila wakikutana na kubwa kipigo tu.
 
Wote wafanyao hivyo ni mambulula, kwani wakifungwa MANACHESTER UNITED what are gaining or lossing financially, economically, socially, spiritually, sexually, salarylly, family, workwise, etc
Acheni ulimbukeni kama wa akina chifu mang'ung'o!!!!!
 
Hakikisha unajua ratiba zote za mipira ya EPL, LA Liga, BundesLiga, serie A, Ligue 1. ukishajua siku ya mechi mtafute kokote alipo muombe mechi afu urudi home ukishapata haki yako..

ningejua ningeomba mapema,bt ikawa too late
 
Haha!
Kweli jana Chelsea walitufunga... hata mimi sikumpa mpenzi wangu tunda jana, japo alilalama usiku kucha.... teh!

kumbe tupo tim moja
hata mm shemejio nilimnyima naniliiii!!
kufungwa kunauma aisee hasira hazikwepeki!!

 
Sipati picha mke WA arsen Wenger madhila anayoyapitia


Lol



Mimi beby Wangu raha kweli, ni man u fan

Siku wakifungwa, analia kama mtoto kazi yangu kumbembeleza tu,

Yan wanaume, ujanja wote ila mpira unawaliza!
 

tafuta bf ambae ni mshabiki wwa ARSENAL ashakomaa hata akifungwa kila siku miaka nane hana stress...ashazoea vichapo
 




Yani kunyimwa siku moja ndo ulalamike hivyo Deborita's???
 
Last edited by a moderator:

Shemeji atakuwa MANCHESTER UNITED huyo.
 
atakuwa man u huyo sisi arsenal tumezoea!
 

Jamani tuachieni Mpira etu wengine huwa stress za kuliwa!!! si unajua tena mambo ya betting yalivyo.
 
Uko sahihi #Debora ila mara nyingi hawa uwa ni malimbukeni wa ushabiki!, ushabik ambao hauna busara ndan yake, na asilimia chache sana wameenda shule..!
hapo numeongea pwointi ndugu, ni ulimbukeni haswaaaaaa wa kuchukua hasira za match mpaka kwenye maisha ya kawwaida! mie nifungwe nishinde yanaishia hapo hapo bar! nikitoka natabasamu! japo sijaenda shule.., mijitu mingine mpaka inarusha ngumi ikitaniwa kisa arsenal imefungwa., utafikiri kazaliwa nayo, au ana hisa pale...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…