Wanaume na minywele

Semeni yote,lakini mtambue kuwa shaving cream zina madhara makubwa sana.Inashauliwa kunyoa kwa kutumia wembe ama mkasi.
Zingatieni hili
 
Umejuaje kama mivuzi inasugua wakati umetuambia hii habari umeambiwa na rafiki yako? Na umejuaje wengine yanakuwa mengi mpk unavishualaiz smoke? Talking of experience??

Nimesema am out...lol!
 
Oh nshakuelewa sasa.... kama unadate na suruali mlegezo unategemea nini? Ni sawa na mimi nidate na kisista duu kisichojua kuosha K. Kiukweli itabakia siri yangu badala ya kuja kijidhalilisha huku.

Jamani mkichepuka chepukeni na size zenu...
 
Nimesema am out...lol!

Ok twenzetu PM basi tukapeane ABC za unyoaji mavuzi bila kusababisha vipele.... niko tayari kwa practical kama hutaogopa.
 
Hahahahahaha ujidai hujanielewa wapi nimeandika na date na mvaa mlegezo?
Hahahahah kunielewa umenielewa sana sema ubishi wako tu

This will be next sasa mmeshajua kunyoa, nyoeni vzr msitoke mapele yakakwaruza papuchi zetu,...am out!
 
Hahahahahaha ujidai hujanielewa wapi nimeandika na date na mvaa mlegezo?
Hahahahah kunielewa umenielewa sana sema ubishi wako tu
Mchepuko sio dili Mafikizolo, ila ikibidi chepuka kwenye mchepuko wa lami, one way.
 
kuna wengine hasa wanawake mnanyoa siku ya 'game'.....hio ni hatari kwani wakati unanyoa huwa unajikata bila kujua sasa kwenye 'game' kuna style ambazo kudondosheana 'maji maji' ni nje nje!!!!! ukitaka kujua ukinyoa huwa unajikata ni wakati wa kuoga maji yakigusa maeneo hayo.
 
sijui umejuaje kama sio kwa kuchanganya mizigo
 
Binafsi nina mashine ya kunyoa iko standby... Every week once is enough. Hahahaha eti clean package.
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…