Wanaume na minywele

Wanaume na minywele

kabla hujanificha, we umeyaonea wapi hayo ka sio kwa mpnz Wako? Unadhani wote Wako ivyo?

Mbona tunawaona wengi tuuu humu mtaani?!! wanaume wengi wanafanya kazi zinazowezesha kwapa kuonekana; basi likiinuliwa tu ni balaaa. Sasa kama kwapa halijanyolewa usitegemee kwingine kumenyolewa...
 
Poa.Ss sio wa bishi kama ninyi,Ila kazi zinazidi.mtunyoe hata ninyi mweeee.
 
Mchepuko wako ndo hanyoi? Too bad
 
Mbona tunawaona wengi tuuu humu mtaani?!! wanaume wengi wanafanya kazi zinazowezesha kwapa kuonekana; basi likiinuliwa tu ni balaaa. Sasa kama kwapa halijanyolewa usitegemee kwingine kumenyolewa...

Ata wanawake wa hivyo wapo, mwanamke kavaa kinguo cha kukata mabega, af kapanda daladala ameshika bomba, mmm icho kichaka Ata chatu anaishi, sikwambii harufu yake sasa....
 
Za kwapani huwa naziachaga sana,ila chini zinapunguzwa zinabaki za kuchomachoma tu...ofcourse she likes it like that...
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mbona tunawaona wengi tuuu humu mtaani?!! wanaume wengi wanafanya kazi zinazowezesha kwapa kuonekana; basi likiinuliwa tu ni balaaa. Sasa kama kwapa halijanyolewa usitegemee kwingine kumenyolewa...
Na wewe kiherehere cha kuangalia makwapa ya watu umekitoa wapi???
 
Ata wanawake wa hivyo wapo, mwanamke kavaa kinguo cha kukata mabega, af kapanda daladala ameshika bomba, mmm icho kichaka Ata chatu anaishi, sikwambii harufu yake sasa....
Afu ukute kinamwaga kajasho ka brown....
 
Poa.Ss sio wa bishi kama ninyi,Ila kazi zinazidi.mtunyoe hata ninyi mweeee.

Jeez!, guys, tuwanyoe, tuwaoshe after the game, tuwapikie,tuwapakulie, tuwazalie, tuwalelee, tuwaoshee, tuwafulie...the only. thing remains to put pacifiers in your mouths, kha!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom