Wanaume na minywele

Wanaume na minywele

Hahaaaaa wasionyoa wote wakiiona hii post utaona watakavotoa povu ukweli unauma
 
Mi nakushauri mtoa mada ukienda kugegedana beba na toothpicks
 
Mweeee my man knows how to keep him self clean na hanaga mambo hayo yakufuga mivuzi.
Na sina biashara lakini uvaaji wenu ndo unawaumbua.
Unakuta mtu kavaa sulwali mlegezo na ngua aliovaa ya juu yenyewe klfupi akijinyoosha tu halaulahhh chaka hilo waliona duh na nishawaona kama wakaka watatu hivyo hivyo muwe mnashave nywele zenu alaah!!

Hizo za mbele, wengine wana za nyuma pia halafu wanavaa mlegezo, akiinama kiama!
 
Hahahahah lafu wanauliza mmeawaonea wapi teh teh uvaaji wao ndo wawaumbua hahahahah@tumboo umeona mipovu ilivo watokaeee
Hizo za mbele, wengine wana za nyuma pia halafu wanavaa mlegezo, akiinama kiama!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Aspirin hapana bwana, sasa kuna raha gani kuchubuka kwa kusuguliwa na manywele?
Wengine yanakuwa mengi mpaka you can visualize smoke coming out of it!
Umejuaje kama mivuzi inasugua wakati umetuambia hii habari umeambiwa na rafiki yako? Na umejuaje wengine yanakuwa mengi mpk unavishualaiz smoke? Talking of experience??
 
Back
Top Bottom