Wanaume na michepuko yao

Wanaume na michepuko yao

njia kuu moja mchepuko mmoja hapo ndio utaishi maisha ya raha ya mahusiano. huku kikinuka unaenda zako kujipumzisha upande wa pili.
 
Kuna mtu kaongea
kuhusu limbwata akanikumbusha.

Leo wanaume siku yenu hivi nyie wanaume mliooa wenye michepuko?

Na tena isitoshe kuwa na mchepuko ukawa unaiba iba tuu basi wewe
unamuweka kabisa kama mkeo nyumba unamnunulia au kumpangia hivi unawaza
nini hasa wewe? Wakati mwingine hata familia inakosa chakula hela
zinaishilia nje.

Huna hata staha wewe? Huogopi laana ya watoto na kiapo ulichoweka
kanisani au msikitini.

Kwanza kwa taarifa yenu.

Michepuko inakupenda ukiwa nazo na ukiwa unatoa usipo kuwa nazo
haikutambui.

Pili usiwe na hela halafu siku upate tatizo usiwe na kazi muda mrefu
uone kama utakuthamini, utarudi kwa mkeo.

Unaangaika huko njeee, mwenyekuja kukushughulikia ukiumwa ni mkeo.

Mwenyekukulelea watoto wako mkeo..kwanini usimthamini huyu mkeo, familia
kwanza hata kama unamchepuko usiuthamini kama unavyothamini familia
yako.

Utakuta mke hana gari ila utamnunulia mchepuko gari.

Huyu huyu mchepuko utakuta anakuchunaaa kumbe ana kidume chake pembeni
ambacho wanajiandaa ndio kuja kuoana anakuja faidi mwingine.

Halafu michepuko mingine inatumia Limbwata.

Wewe utakuta unatesa familia, unaisahau familia kabisa hata kupelekea
kumpiga mkeo, kumtukana mkeo kisa mchepuko, siku ya siku unarudi kwa
mkeo huna hata senti mfukoni, umefulia km mbwa pori.

Jamani hivi nyinyi hamuoni mifano?

Wanaume wengine walivyobwege wataruhusu mchepuko kupiga simu hata usiku
akiwa amelala na mkewe.

Kumtukana mkewe.
Kwanini msiwafunze kuwa uwapo nyumbani asipige simu?

Waheshimuni wake zenu

kuchepuka si vibaya ila mchepukaji ajari ajali familiya yake ipasavyo.kuna michepuko mizuri asikwambie mtu
 
RETURN LAZIMAAAA GIVEN THE LEVEL OF RISK INVOLVED! Are you kidding me! Maana wasema THE HIGHER THE RISK THE HIGHER THE RETURNS! Ila Dr. Haya utayajulia wapi umezoea kushika sirinji na bomba za sindano! Hahaaaaaa!

Aiseeee sidhani kama umenielewa.
 
[FONT=trebuchet
ms]Mwanaume haweki feelings kwa mchepuko. Feelings zipo kwa mke.
Haijalishi anakuchukuliaje as long as he gets the milk (if u know what i
mean)[/FONT]




Mwanaume asipokuwa na pesa wala hataki kuonana na
mchepuko. Anakuwa down to earth (by earth i mean wife) na anapambana
kupata hela nyingine ikija anarudi kulekule. So that works fine for
him.




Bottom line: Michepuko siyo Issue( Pia hakuna
jipya chini ya jua)

what? eti hakuna jipya? wew labda kwako we acha tu mchepuko taamu yaan unamkaribisha kuanzia getin... baba baba baba karibu baba baba ulikuwa wap baba hapo unamvua koti etc kumbuka haamjafika ndan???
 
Kuna mtu kaongea kuhusu limbwata akanikumbusha.

Leo wanaume siku yenu hivi nyie wanaume mliooa wenye michepuko?

Na tena isitoshe kuwa na mchepuko ukawa unaiba iba tuu basi wewe unamuweka kabisa kama mkeo nyumba unamnunulia au kumpangia hivi unawaza nini hasa wewe? Wakati mwingine hata familia inakosa chakula hela zinaishilia nje.

Huna hata staha wewe? Huogopi laana ya watoto na kiapo ulichoweka kanisani au msikitini.

Kwanza kwa taarifa yenu.

Michepuko inakupenda ukiwa nazo na ukiwa unatoa usipo kuwa nazo haikutambui.

Pili usiwe na hela halafu siku upate tatizo usiwe na kazi muda mrefu uone kama utakuthamini, utarudi kwa mkeo.

Unaangaika huko njeee, mwenyekuja kukushughulikia ukiumwa ni mkeo.

Mwenyekukulelea watoto wako mkeo..kwanini usimthamini huyu mkeo, familia kwanza hata kama unamchepuko usiuthamini kama unavyothamini familia yako.

Utakuta mke hana gari ila utamnunulia mchepuko gari.

Huyu huyu mchepuko utakuta anakuchunaaa kumbe ana kidume chake pembeni ambacho wanajiandaa ndio kuja kuoana anakuja faidi mwingine.

Halafu michepuko mingine inatumia Limbwata.

Wewe utakuta unatesa familia, unaisahau familia kabisa hata kupelekea kumpiga mkeo, kumtukana mkeo kisa mchepuko, siku ya siku unarudi kwa mkeo huna hata senti mfukoni, umefulia km mbwa pori.

Jamani hivi nyinyi hamuoni mifano?

Wanaume wengine walivyobwege wataruhusu mchepuko kupiga simu hata usiku akiwa amelala na mkewe.

Kumtukana mkewe.
Kwanini msiwafunze kuwa uwapo nyumbani asipige simu?

Waheshimuni wake zenu

Haya mama,tumekusikia. Hata hivyo mimi nami nimekuwa nikitafuta mchepuko longtime, naona wewe utanifaa sababu hutoumiza familia yangu.
 
Wanyama "hayawani" huongozwa na silika "instincts" mwanadamu huendeshwa na roho pamoja na mind. Acheni kupamba uzinzi na uasherati kwa neno "mchepuko"
 
Back
Top Bottom