Kuna mtu kaongea kuhusu limbwata akanikumbusha. Leo wanaume siku yenu hivi nyie wanaume mliooa wenye michepuko? Na tena isitoshe kuwa na mchepuko ukawa unaiba iba tuu basi wewe unamuweka kabisa kama mkeo nyumba unamnunulia au kumpangia hivi unawaza nini hasa wewe? Wakati mwingine hata familia inakosa chakula hela zinaishilia nje.Huna hata staha wewe? Huogopi laana ya watoto na kiapo ulichoweka kanisani au msikitini. Kwanza kwa taarifa yenu.Michepuko inakupenda ukiwa nazo na ukiwa unatoa usipo kuwa nazo haikutambui. Pili usiwe na hela halafu siku upate tatizo usiwe na kazi muda mrefu uone kama utakuthamini, utarudi kwa mkeo.Unaangaika huko njeee, mwenyekuja kukushughulikia ukiumwa ni mkeo.Mwenyekukulelea watoto wako mkeo..kwanini usimthamini huyu mkeo, familia kwanza hata kama unamchepuko usiuthamini kama unavyothamini familia yako.Utakuta mke hana gari ila utamnunulia mchepuko gari. Huyu huyu mchepuko utakuta anakuchunaaa kumbe ana kidume chake pembeni ambacho wanajiandaa ndio kuja kuoana anakuja faidi mwingine.Halafu michepuko mingine inatumia Limbwata.Wewe utakuta unatesa familia, unaisahau familia kabisa hata kupelekea kumpiga mkeo, kumtukana mkeo kisa mchepuko, siku ya siku unarudi kwa mkeo huna hata senti mfukoni, umefulia km mbwa pori.Jamani hivi nyinyi hamuoni mifano? Wanaume wengine walivyobwege wataruhusu mchepuko kupiga simu hata usiku akiwa amelala na mkewe.Kumtukana mkewe. Kwanini msiwafunze kuwa uwapo nyumbani asipige simu? Waheshimuni wake zenu
Mapenzi bongo kama umeme wa mgao, usipokuwa na kijenereta unaumbukaaaa! Ukizimaa paaa utachina gizani! Mambo yote kijenereta! Ukizima tu we unawasha huku! Full mwanga mwanzo mwenga! MICHEPUKOOOOOOOO OYEEEEEEEEEEE! Ubaki njia kuu kwani we semitrella? Kwanza utaishije kwa mkate tu?
Jamani ID yangu imekuwa hacked na mwenyekiti wa michepuko!
Unafikiri michepuko inamuomba shetani nayo ipate wa kuwachuna? Unapoomba wewe nae hapo hapo! Hahaaaaa! Kanisani tuko wote, na sadaka twatoa wote vile vile! Mungu ni mwenye hurumaaaa! Our God is a merciful God! We live in difficult times when KARMA IS REALLY A B.ITCH
RETURN LAZIMAAAA GIVEN THE LEVEL OF RISK INVOLVED! Are you kidding me! Maana wasema THE HIGHER THE RISK THE HIGHER THE RETURNS! Ila Dr. Haya utayajulia wapi umezoea kushika sirinji na bomba za sindano! Hahaaaaaa!Inawezekana wanapata return as they invest.
Haibadilishi ukweli wa alichokiandika lakini! HATE THE GAME AND NOT THE PLAYER!Umevurugika leo mdada kataa au kubali ndiyo hali halisi.
kheeeeeeee! Sasa alaumiwe nini? Ye inamuhusu nini? Kaambiwa piga mda wote baby nipo! Kwanini ajibane?wakulaumiwa ni huyu mwanamke anayechepuka na mume wa mtu. Na anajua kabisa ni mume wa mtu.
Kwanini apige simu usiku.
kheeeeeeee! Sasa alaumiwe nini? Ye inamuhusu nini? Kaambiwa piga mda wote baby nipo! Kwanini ajibane?
Sasa ajitafakari nini wakati keshapewa GO AHEAD.?yeye ajitafakari je ni sahihi kumpigia mume wa mtu usiku?
Hata kama karuhusiwa..
Kuna mtu kaongea kuhusu limbwata akanikumbusha.
Leo wanaume siku yenu hivi nyie wanaume mliooa wenye michepuko?
Na tena isitoshe kuwa na mchepuko ukawa unaiba iba tuu basi wewe unamuweka kabisa kama mkeo nyumba unamnunulia au kumpangia hivi unawaza nini hasa wewe? Wakati mwingine hata familia inakosa chakula hela zinaishilia nje.
Huna hata staha wewe? Huogopi laana ya watoto na kiapo ulichoweka kanisani au msikitini.
Kwanza kwa taarifa yenu.
Michepuko inakupenda ukiwa nazo na ukiwa unatoa usipo kuwa nazo haikutambui.
Pili usiwe na hela halafu siku upate tatizo usiwe na kazi muda mrefu uone kama utakuthamini, utarudi kwa mkeo.
Unaangaika huko njeee, mwenyekuja kukushughulikia ukiumwa ni mkeo.
Mwenyekukulelea watoto wako mkeo..kwanini usimthamini huyu mkeo, familia kwanza hata kama unamchepuko usiuthamini kama unavyothamini familia yako.
Utakuta mke hana gari ila utamnunulia mchepuko gari.
Huyu huyu mchepuko utakuta anakuchunaaa kumbe ana kidume chake pembeni ambacho wanajiandaa ndio kuja kuoana anakuja faidi mwingine.
Halafu michepuko mingine inatumia Limbwata.
Wewe utakuta unatesa familia, unaisahau familia kabisa hata kupelekea kumpiga mkeo, kumtukana mkeo kisa mchepuko, siku ya siku unarudi kwa mkeo huna hata senti mfukoni, umefulia km mbwa pori.
Jamani hivi nyinyi hamuoni mifano?
Wanaume wengine walivyobwege wataruhusu mchepuko kupiga simu hata usiku akiwa amelala na mkewe.
Kumtukana mkewe.
Kwanini msiwafunze kuwa uwapo nyumbani asipige simu?
Waheshimuni wake zenu
mwanamke mumeo akiwa na mchepuko na wewe vuta wako....ngoma droo!