kikuumacho n nini?
Dawa ya hawa wasanii ni kutiwa vidole tu, pengine nao ni mboga kama watangazaji wengi wa Clouds!
Wameshazoea,utakuwa unawapa raha tu,labda nondo zenye kutu zitumike.
says who?mimi hakuna tatizo kwa msanii kufanya hivyo,asipofanya hivyo hatapendwa na watu
Dawa ya hawa wasanii ni kutiwa vidole tu, pengine nao ni mboga kama watangazaji wengi wa Clouds!
Wanatangaza kuwa wana biashara!
Kiusanii inakubalika,, ila hilo la hizo nguo zenyewe kuwa chafu ndilo la kujadili..
Wanaovaa nguo chini ya makalio na kuonyesha michpi yao ni Mabwabwa aka watoto wa watu,Masela waombeni t.......................go hao!kikuumacho n nini?
Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex lakwake chafuu alafu kalianika, Jo Makini mtu mzima na yeye anavalia suruali chini ya makalio upuuzi mtupu. Nyie wakaka wa JF kabla hamjaanza kutusema mavazi wanawake embu wafundisheni wadogo zenu ndo tutawaheshimu au na nyie mmedondoshea mnatafuta soko dizaini Arabuni