Waliolelewa na mama zao ikiwa baba zao wanahangaika na michepuko huko, yaani shida haipo kwa watoto wa kike tu, daa hao wanaume sasa kwa wake zao hupata shida sana maana hawajui Upendo kwa mke bali huona mbona Mama aliishi pekeyake na alikuwa na uwezo wakupasua kuni [emoji23] nani alikuwa anambembeleza hivyo kuolewa na kijana ambaye hana malezi ya baba ni shida kubwa kwa mke!