mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 912
- 3,006
Ni kweli wengi hawana vitabia vya kiume.Waliolelewa na mama tu kuna tabia za kiume huwa wanakuwa hatarini kuzikosa kama mama sio jemedari na hajui maana ya kuwa na mtoto wa kiume.
Hapana aisee nimewatazama rafiki zangu wengi, waliolewa na wazazi wote wawili na mimi nikiwemo, wengi ni watu wasiotabirika kabisa, kuna nyakati ni risk taker kuna nyakati huwa ni muoga, ila ndio wanaume wanaoshinda bar saa nne, walevi, uhuni uhuni flan nkTabia ya kundi la 3 wanakuaga nazo watu wa kundi la 1.
Hope na wewe unaweza kuwachunguza na kujua tabia zao, nimezingatia makundi ya walio wengi.Waliolelewa na wajomba,
waliolelwa na mashangazi,
waliolelewa kwenye vituo vya yatima,
waliolelewa na majambazi,
waliolelewa na wachawi,
waliolelewa na wanachama wa CCM,
waliolelwa na CHADEMA,
waliolelewa na wanachama wa JF
listi ni refu sana tunaomba uendelee kutujuza
ulivyosema tafiti isiyo rasmi imebidi nipuuzie
Na sisi tunaolelewa na majimama vipi?
Unaonaje ukafanya utafiti rasmi ili nikuamini zaidiinabidi upuuze , sababu utafti rasmi hufuata taratib maalumu,tafti zetu za mtaani hatufuati huo utaratibu,ukipuza sawa tu
iunaonaje ukafanya utafiti rasmi ili nikuamini zaidi
Kwa hiyo uzi wako tukiuita ni opinion not a fact tunakosea?if i will get paid for that naweza fanya, lakini vitu kama hivi tuwachie watu wa physcology , sina sababu ya kutafta kuaminiwa ndugu
i
"Nawaza kazi zangu tu, kinachonitesa sana ni wanangu kuwa siishi nao (ni kitu ambacho kinaniumiza sana) imefika wakati naweza toka shule ninapofundisha na kwenda kuwasalimia na huwa natoa hadi machozi nikifikiri why siishi nao, ila linapokuja suala la kuishi na mama yao inaKuwa mtihani, msaada wenu napokea ushauri , napokea pia matusi na kejeli, i'm old enough na maisha ya mtandaoni nayafahamu"1. Wanaume waliolelewa na mama tu katika utoto na ujana wao. Wengi wanapofika umri wa mtu mzima huwa na tabia hizi. Wengi ni wastaaraabu, hawapendi usumbufu na sio watu wa kujingiza kwenye tabia hataarishi. Hawa wengi huridhika sana na maisha yao hata kama kipato chao ni kidogo, mfano ukimkuta ni mwalimu huyu atashinda muda wote kazini, atawahi kurudi nyumbani akae na familia yake, hawezi engage kwenye tabia hatarishi, hawa anaweza pigwa na mke na asichukue hatua yoyote, wasafi wa mwili na mazingira.