Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi. hii inaonyesha hamjui kutongoza kwani neno ni hilo tu la kumpata mtu?