Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,235
- 62,398
Katoto kazuri njoo uchukue chenchi
Sio lazima usome post au comment zake sepa kwingine .Huyu demu huwa simuelewagi, mpangilio wa maneno mbaya, content haieleweki. Wanaume tuna kazi sana.
Sio lazima usome post au comment zake sepa kwingine .
Kuna post kwa mwezi kama elfu moja soma hizo .
Sio kuja kujishaua halafu bado ni mwanaume .
Au wewe hujakamika
Ukitukana haisaidii sina muda wenye kupania mtu ambaye humjui so endelea kubwajajaHujakamika ndio mnyama gani ? Unapenda usifiwe tu! Sisi wengine tutakupa live bila chenga.