dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,359
Kama kula yako inategemea uhongwe pole sana maana hizo private parts zako zitapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
katika ubora wako!Usidanganye wenzio wakarukishwa ukuta kwa kuamini watahongwa.. hamna huo upuuzi. Wanaume wenyewe wanakwambia siku hizi wanapewa bureeee tena bila kuomba ndo useme alipie kalio?
Sema mzee baba anakaza kweli mabf zetu wanapunguza kutunza kisa biashara mbovu
Good morningkatika ubora wako!
Juzi ulikuja na Uzi wa kumpamba na kumsufia, Jana kavuta za mwisho wa mwezi hakukutoa. Leo umekuja na Uzi wa kulalamika kuwa wanaume wagumu kuhonga, pole sana kwa magumu unayopitia.
Una stress za kimapenzi kwa kiwango kikubwa mno,tafuta wataalamu wakupe msaada uondokane na hilo tatizo.
goodmorning too msupa!Good morning
Kwani wewe sio me unitatulie hiyo shidaUna stress za kimapenzi kwa kiwango kikubwa mno,tafuta wataalamu wakupe msaada uondokane na hilo tatizo.
BirianiKuruka ukuta ndo kufanyeje?? Na huo ukuta wa course ngapi??
Kumbe..Kwann sasa wanasema kuruka ukuta..Hapo sijaelewaBiriani
Siunaruka unaenda behindKumbe..Kwann sasa wanasema kuruka ukuta..Hapo sijaelewa
Unarukaje?..Na ukuta umeingiaje hapo??Siunaruka unaenda behind
Acha kunitoshaUnarukaje?..Na ukuta umeingiaje hapo??
Nani kasema na dangaga ?Hujaacha kudanga? katoto kazuri
Relax usipaniki labda hujui maana ya kudanga na kuhonga.Nani kasema na dangaga ?
Labda wewe umejisahau kuwa unadangaga
Mimi kabinti kawatu sijui vitu vya town mi geiti kali.Relax usipaniki labda hujui maana ya kudanga na kuhonga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu demu huwa simuelewagi, mpangilio wa maneno mbaya, content haieleweki. Wanaume tuna kazi sana.