Wanaume na " CHOVYA CHOVYA " Kulikoni?

Ingawaje simo kwenye list ngoja nichangie kidogo.... hili swali sio zuri sana linaweza fanya watu wakakumbuka mautundu ya ma-x wao na wakaanza kuwatafuta though wanaweza kuwa zaidi ya dozeni!!!
 
ka2pie ndoano 2 hako kawe ch 35. kati y hao bk zilikua ngapi.mana mi ninalist ndefu inacontain bk tatu 2.ujue mademu w cku hiz kwnye kuchakachuliwa ni balaa!!!

Mkuu haka jamii itanizomea nway hiyo avatar yako mkuu umewasiliana na INVISIBLE?? .
 
Ingawaje simo kwenye list ngoja nichangie kidogo.... hili swali sio zuri sana linaweza fanya watu wakakumbuka mautundu ya ma-x wao na wakaanza kuwatafuta though wanaweza kuwa zaidi ya dozeni!!!

Hahahah mkuuu, naona kwa kuanzia na kwako itakuwa umemkubuka x-wako. LOL
 
baada ya kusoma hii sredi ndio nimegundua kwamba sisi watakatifu na waaminifu tumebaki wachache sana. khaaaa!
 
Mkuu haka jamii itanizomea nway hiyo avatar yako mkuu umewasiliana na INVISIBLE?? .

cjawacliana nae.ila kw wasiomjua invisible ndio huyo kwnye avater.czan km akikuta nimemweka yy km atamaindi!!
 
kiukweli mimi sikumbuki idadi maana ni nyingi mno kila nikijaribu kukumbuka naona na mwingine anatokea ukizingatia nilikuwa na tabia pia ya kuokota hata machangudoa yanaojiuza barabara acha niwe mkweli ili kama ni dhambi basi niwe nimeungama mazima SIKUMBUKI IDADI NI WENGI MNO WAKISHIKANA MIKONO WANAWEZAFIKA KILOMETA 700 DUH NA BADO NINA LIST NDEFU AMBAO BADO SIJAWACHOVYA WANATAKA LAKINI NIMEKOSA MUDA WA KUWACHOVYA NIKIWACHANGANYA NA HAO NI KILOMETA NYINGINE 700. na kwasasa kasi imepungua maana mamaa naye anadhibiti ili wako kwenye list ya kudungwa kila nikisema nikimdunga huyo atakuwa wa mwisho anatokea mwingine nahisi nina mapepo napaswa kuombewa. mpaka mke wangu ananiambia hivi wewe huwezi kufanya shughuli yoyote au ukisafiri au ukienda kwenye semina na mikutano biala kuanzisha uhusiano na na jinsia tofauti na baade umalie kwa kumdu? baada swali hili kuulizwa ndio imetokea nikajitafakari kwamba na mimi ni kicheche. ila sasa pamoja na hayo yote ninaye rafiki yangu mmoja mimi huwa nashindwa kumwelewa maana yeye kuna siku huwa anakuwa na ahadi na wawili na anazitimiza zote huyo kanishinda hivyo mimi nami kwa hapo najiweka kwenye kundi la watakatifu maana hao wa kwangu ambao sikumbuki idadi yao kwake ni kidogo sana. ila kumbukeni kutumia kondomu wazee hii kitu samtimes huwa tunapiga lakini si unajua tena na kale kamdudu kamekuja kujificha hapo hapo.
 
mi ni 8 tu na huyu ajae atakuwa wa 9. Nafunga mlango na ni ukweli mtupu! Hapo nimejumuisha wote hata wale walipitia kimakosa! An interesting story unaweza kukuta na viX Vyangu vmo humu navihesabu navyo vyanihesabu! Lol JF
 
Kuna kazi ya ziada inahitajika kurudisha maadili. Viongozi wa dini wanaweza kusaidia. ingawa itapunguza kazi lakini mambo hayo yataendelea. Maana dunia ilipofikia siyo chovya tu lakini hata kupeana mimba bila ya ndoa Baba akiwa na watoto watatu au wanne na kila mtoto na mama yake au mama akiwa na watoto watatu au wanne na kila mtoto na baba yake, na jambo hilo linaonekana la kawaida. Wapo enzi hizo walio wahi kusema "CHILD SPACING".
 
kiukweli mimi sikumbuki idadi maana ni nyingi mno kila nikijaribu kukumbuka naona na mwingine anatokea ukizingatia nilikuwa na tabia pia ya kuokota hata machangudoa yanaojiuza barabara acha niwe mkweli ili kama ni dhambi basi niwe nimeungama mazima SIKUMBUKI IDADI NI WENGI MNO WAKISHIKANA MIKONO WANAWEZAFIKA KILOMETA 700 DUH NA BADO NINA LIST NDEFU AMBAO BADO SIJAWACHOVYA WANATAKA LAKINI NIMEKOSA MUDA WA KUWACHOVYA NIKIWACHANGANYA NA HAO NI KILOMETA NYINGINE 700. na kwasasa kasi imepungua maana mamaa naye anadhibiti ili wako kwenye list ya kudungwa kila nikisema nikimdunga huyo atakuwa wa mwisho anatokea mwingine nahisi nina mapepo napaswa kuombewa. mpaka mke wangu ananiambia hivi wewe huwezi kufanya shughuli yoyote au ukisafiri au ukienda kwenye semina na mikutano biala kuanzisha uhusiano na na jinsia tofauti na baade umalie kwa kumdu? baada swali hili kuulizwa ndio imetokea nikajitafakari kwamba na mimi ni kicheche. ila sasa pamoja na hayo yote ninaye rafiki yangu mmoja mimi huwa nashindwa kumwelewa maana yeye kuna siku huwa anakuwa na ahadi na wawili na anazitimiza zote huyo kanishinda hivyo mimi nami kwa hapo najiweka kwenye kundi la watakatifu maana hao wa kwangu ambao sikumbuki idadi yao kwake ni kidogo sana. ila kumbukeni kutumia kondomu wazee hii kitu samtimes huwa tunapiga lakini si unajua tena na kale kamdudu kamekuja kujificha hapo hapo.

Mkuu umepima? Kama una wasiwasi nakushauri nenda Loliondo kwa babu kabla hajapumzika kwa amani. LOL
 
mi ni 8 tu na huyu ajae atakuwa wa 9. Nafunga mlango na ni ukweli mtupu! Hapo nimejumuisha wote hata wale walipitia kimakosa! An interesting story unaweza kukuta na viX Vyangu vmo humu navihesabu navyo vyanihesabu! Lol JF

Mkuu, Umekumbuka wale wa Primary, O'level na a'level????
 
Ruksa na wewe kuchangia ndo maana kuna kipengele cha etc!!

Kabla ya ndoa ni mmoja tu, baada sasa ndio kimbembe, nafikiri wasichana au wavulana wanakuwa na mahusiano mengi kabla sababu wanakuwa hawajapata perfect match yao, mtu anakuwa na uhusiano akitegemea wataoana mara mwenzake anamwacha anaoa mwingine, mwingine anamfumani, mwingine anashindwa ulevi, kila mtu na lake mpaka anapompata aliyeandikiwa hapo mambo yanaenda vizuri
 
duuhh
ngoja nikatafute diary ya kuanzia miaka ile ya kipidi kile....
hahahahhaah lol

kweli hii inategemea..
lakini chanzo kikubwa ni wanaume ..
 
Ndg yangu Gbollin,

Ili uchovye lazima pawepo pa kuchovya. Kwa hiyo, mchezo huo unakwenda kwa pairs au waswahili tunaita jozi. Ninachotaka kusema ni kwamba kama unataka upate idadi kamili ultimately utagundua kuwa idadi ya wanaochovya (wanaume) na wanaochovwa (wanawake) inafanana na hivyo ngoma inakuwa droo. Kwa mfano, mimi kabla sijaoa nilichovya mara kadhaa kwa wasichana kama kumi na mbili hivi. Na wao (hao wasichana) wakiulizwa walichovwa mara ngapi, lazima Dumelambegu awepo kwenye orodha yao. Hence, eventually data zinakuja kufanana kwa jinsi zote mbili.

Labda utafiti wako unge-frame vizuri zaidi.
 
kiukweli mimi sikumbuki idadi maana ni nyingi mno kila nikijaribu kukumbuka naona na mwingine anatokea ukizingatia nilikuwa na tabia pia ya kuokota hata machangudoa yanaojiuza barabara acha niwe mkweli ili kama ni dhambi basi niwe nimeungama mazima SIKUMBUKI IDADI NI WENGI MNO WAKISHIKANA MIKONO WANAWEZAFIKA KILOMETA 700 DUH NA BADO NINA LIST NDEFU AMBAO BADO SIJAWACHOVYA WANATAKA LAKINI NIMEKOSA MUDA WA KUWACHOVYA NIKIWACHANGANYA NA HAO NI KILOMETA NYINGINE 700. na kwasasa kasi imepungua maana mamaa naye anadhibiti ili wako kwenye list ya kudungwa kila nikisema nikimdunga huyo atakuwa wa mwisho anatokea mwingine nahisi nina mapepo napaswa kuombewa. mpaka mke wangu ananiambia hivi wewe huwezi kufanya shughuli yoyote au ukisafiri au ukienda kwenye semina na mikutano biala kuanzisha uhusiano na na jinsia tofauti na baade umalie kwa kumdu? baada swali hili kuulizwa ndio imetokea nikajitafakari kwamba na mimi ni kicheche. ila sasa pamoja na hayo yote ninaye rafiki yangu mmoja mimi huwa nashindwa kumwelewa maana yeye kuna siku huwa anakuwa na ahadi na wawili na anazitimiza zote huyo kanishinda hivyo mimi nami kwa hapo najiweka kwenye kundi la watakatifu maana hao wa kwangu ambao sikumbuki idadi yao kwake ni kidogo sana. ila kumbukeni kutumia kondomu wazee hii kitu samtimes huwa tunapiga lakini si unajua tena na kale kamdudu kamekuja kujificha hapo hapo.

mama weeee!
Shughuli nzito.
Hicho kidude hakijakonda? Lol!
 
kuna mmoja aliniambia hadi ameoa keshafikisha 123. anaowakumbuka ni kama hamsini hivi. wengine akikutana nao hakumbuki kama aliwahi kuwatongoza au laaa
 
Mkuu umepima? Kama una wasiwasi nakushauri nenda Loliondo kwa babu kabla hajapumzika kwa amani. LOL

sijapima ila loliondo nimekweishaenda na kikombe nimekwisha kunywa usijali mkuu nilikuwa natumia kinga
 
Back
Top Bottom