Sasa mvua inahusiana vipi na kupigiwa?Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?
Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi wakiwapgia sim wapenzi wao muda wa usiku wanadai mvua inanyesha,wanasema "Nitafute asubuhi"
Halafu haka kamchezo karibia wanaume wengi wanakatumia
Hivi mvua zinanysha usiku tu?
Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?
Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi wakiwapgia sim wapenzi wao muda wa usiku wanadai mvua inanyesha,wanasema "Nitafute asubuhi"
Halafu haka kamchezo karibia wanaume wengi wanakatumia
Hivi mvua zinanysha usiku tu?
Bado haimake sense kwangu mathee.Kuna radi,nipigie kesho
Wapi tena mkuu?Kama unakwepa kuongea na sim na wewe umo mle mle
Na mvua zinakata au
Mi naulizaga kama wanafuga Kuku wa kienyeji kabisaKwenye kundi la kidai mvua inanyesha usiku