Ni mkojo! hata hivo mbona neno kojo linatumika sana tu all in all Content ni ileile mnapokojoa pembeni chini si sahihi.. Jitahidi kuishikaKwahyo huo wa choon mnaona kinyaa ule mnaokunywa vip? Au huu hauna UTI?
Mliokunywa mkojo umewasaidia kuwasahau wapenzi wenu?
Nimekutana na neno 'Kojo' mitandaoni, lina maana gani?
Okey back to HygieneNi mkojo! hata hivo mbona neno kojo linatumika sana tu all in all Content ni ileile mnapokojoa pembeni chini si sahihi.. Jitahidi kuishika
Mm nalenga ww! Kama nalenga mpaka kashimo kadogo kenye joto na kamezungukwa na nyasi nyeusi na sikojoi pemben sembuse mshimo Wa choo??[emoji2] [emoji2] [emoji2]Haha Leo kiafya zaidi.. jitahidi kulenga shimo la choo bana mnatusababishia matatizooo
Sio mahala pote..sisi hatunywi mikojo hio.. Hapa naongelea pale chini chooni mnapomwaga nasi tunaenda kuchuchumaaOkey back to Hygiene
Wanaume na wanawake hawatakiwi kutumia choo kimoja kutokana na sifa za kimaumbile zilizopo baina ya jinsia zao.
Maofisni na vyoo vya jumuia mara nyingi huwa kuna huo utofaut ila vyoo vya majumban ni mara chache sana kukuta vimetenganishwa.
Asante kwa ushaur wako tutalifanyia kazi kuishikilia kipind tunatoa chururu.
Ila muache kunywa basi.