PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
Salim Kikeke hebu tueleze kinaga ubaga, kisa cha kushinda na Dada yetu situdio halafu jioni unapumzika kwa wazungu ni tabia gani hiyo?
Hebu nirushieni namba ya huyo dada nianze mishe zangu fasta.

Unamsema yule wa Superbrand Afrika Mashariki na Kati?