Wanaume Mungu awasaidie

Nashukuru saana kwa huruma yako,,

Unanisaidiaje kwenye hili ndugu yangu nimekwama kwakweliii
 
Ujue wote hapo kaisha wafukunyua wote wenda wanajua au hawajuani, umebaki wewe mgeni hakika zamu yako yaja
 
Sasa nawewe si ni mkazi wa humo, so huwa hulipi na wewe??
 
Umeshampenda mpe papa tu atulize mawazo
 
Kama mimi nilikokua nimepanga Morogoro ilifikia hatua hata gas zikikata wanakuja kupashia kwangu mi nilikua na jiko ila nilikua sipiki gharama za usafi na umeme mimi duh
Mmmmh hapana... Mazoea km haya huwa yanakuja na jinsi mtu unavyojiweka. Ulikaribisha mazoea mwenyewe... Yani mtu atoke na jisufuria lake aje apashie kwako??? Weeeh. Sijipati bado.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…