Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,325
- 4,569
Picha linaanza siku umezaliwa, wazazi na jamii nzima inafurahi kwa kupata mtoto mwanamume bila kujua huko mbeleni atafanya nini ili kufikia kusudio la kuwa hapa duniani.
Naweza kusema hakika tangu mwanzo wanaume tumepewa mamlaka ya kuendesha dunia hii, piga picha bila wanaume nguvu kazi ya taifa ingetoka wapi?
Nchi kuwa tofauti kabisa kiongozi akiwa jinsia ile ya pili nadhani mfano halisi tunao.
Ikitokea umepata mke na watoto jua hao wote wanakuangalia wewe kama kichwa cha familia kuanzia chakula, mavazi na malazi. Wanaume ndio tunapitia misukosuko mingi sana mpaka kufikia kutimiza ndoto zetu.
Ewe mwanaume popote ulipo daima usikate tamaa kwa magumu unayopitia kuzifikia ndoto zako. Tujipige kifua na kusema dunia ipo kwa ajili yetu.