Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,337
- 4,777
- Thread starter
-
- #21
Sjakataa.. ila ndo uchepuke mpaka nijue jaman..Nyie wanawake mnajua mnnajitafutiaga stress za bure tuu...mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja wee tulia ikiwa zamu yako furahia
We subiri tu😂 nije nikuskie!"Mwambie huyo" akaropoka mlevi mmoja..🤣
Mizimu gani tena..? Haya maswala mi si nilishayazira..😀Mizimu imegoma kuja?😅
We subiri tu😂 nije nikuskie!
Kutoweza kuwa na mwanamke mmoja kusihalalishe uchafu wenu, either unampenda au humpendi!!Siku ukija kukubali kama wenzako kwamba hatuwezi kuwa na mwanamke mmoja wala hutolalamika na kupata sonona
Ukifuma akifanya waziwazi huyo hakupendi huwa tunaficha sana kwa tuwapendao
AsantePole sana
Kumbe uliachana na mambo yako ya kunitumia mizimu?😂Mizimu gani tena..? Haya maswala mi si nilishayazira..😀
Mpelekee nanii uko..View attachment 2055463 Itakufaa kipindi hichi..😊
Mizimu yako ilikimbia baada ya kukutana na mizimu yangu ya ukibaka nikaona nisije kukuumiza bure..😃Kumbe uliachana na mambo yako ya kunitumia mizimu?😂
Wajidai hujuagi kuandika leo utaandika hadi kiebrania..😂Mpelekee nanii uko..
Mi nlikwambia nna mizimu?Mizimu yako ilikimbia baada ya kukutana na mizimu yangu ya ukibaka nikaona nisije kukuumiza bure..😃
Kwenda uko bwana weee😒Wajidai hujuagi kuandika leo utaandika hadi kiebrania..😂
Mapenzi hoyee..?
Sio uchafu ni nature hata sisi hatupendi iwe hivyo tunajutia sana pale tunapo cheat Ila ndio hivyo huwezi pambana na nature yakoKutoweza kuwa na mwanamke mmoja kusihalalishe uchafu wenu, either unampenda au humpendi!!
Tena hailali,umesahau au ulinidanganya..?Mi nlikwambia nna mizimu?
Haya endeleeni kujitetea na 'nature' tenuSio uchafu ni nature hata sisi hatupendi iwe hivyo tunajutia sana pale tunapo cheat Ila ndio hivyo huwezi pambana na nature yako
Mi nna majiniTena hailali,umesahau au ulinidanganya..?
hahaa!!Mwendo mperaaaa mperaaa