Wanaume, Mungu anawaona!

Wanaume, Mungu anawaona!

Mama pretty

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2020
Posts
2,168
Reaction score
4,334
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!

Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥

Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂

Sio mpango wala nini!

Uzi tayari.
 
Hgdf jkli darhvha kizito kichwani pole sana!.😂
 
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!

Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥

Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂

Sio mpango wala nini!

Uzi tayari.
Nyie wanawake mnajua mnnajitafutiaga stress za bure tuu...mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja wee tulia ikiwa zamu yako furahia
 
Back
Top Bottom