Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

@sumbai,hakuna kitu kigumu hapa duniani kama kutiwa na elungata,kuna kimoja nimekiangalia kwa miaka 3,jana ndo nimegonga kujipongeza kumaliza 2018,na sio kwamba alikua anachenga bali mimi ndo nilikuwa namcheki
 
Yeah mafala SANA hawawadada, wasipovutiwa kingono na mwanaume ndo wanajifanya wapo decent, Mara usubiri miezi 6 Mara vile..ila wakikupenda unapewa papuchi kirahisi Sana Vladimirovich Putin
Ndio mkuu,huenda ili nalo likawa jibu.

Maana hawa kwanza "Ukifaulu kuwavutia kingono hata siku iyoiyo unamla. Haijalishi alikua strong kiasi gan".




So huyu mtoa.mada..atakua either
alipomuona jamaa laivu namzuka ukakata
kazuga zuga ili kulinda heshma..hatak ile ""Nilipofika tu nikamtafuna"


Yote kwa yote, Jamaa alipaswa.kuzuga, " NIMECHOKA.NASAFARI, KESHO NDO NITAKUSHUGULIKIA ......( anasikilizia dem atasemaje ).
Hiii ingefanya haya
Dem angejua jamaa anataka mchexo so anaanza kuandaa akili
Demu angemuonea jaamaa huruma so uwezekano wa kuomba kamoja ukapewa ni mkubwa.
 
Ss mpaka anafunga safari kuja kwako kwani kweny cm kunakua hakna chating za kunyegeshana mpaka umukatalie
 
Safi sana ,you are such a Good girl.

Nafaham mpaka naww unamuita kwako niwazi kua "Umeshanogewa naye na ulikua tayar kumpa mambo motomoto".

Ila nilazima umuonyeshe sehem yako ya pili ya aibu za kike wakat huo ukisoma na uvumilivu wake

Kuku wako haraka yann?????.

Ndomara yakwanza, niwazi kua hata miili ilikua haijazoeana, ivo story zingesaidia kuleta Ukaribu wa kimwili zaidi.

Huyo jamaa hajiamin, na niwazi kua alijua asingekutafuna usiku huo basi Asingekaa kukutafuta. Na ametoka huko akijua akifika anakutafuna...( Ungetafunwa kweli wee ungekua mtu wa ajabu ).


Mimi najua, Kesho yake angekutafuna tuuu. Tena angekutafuna hata mchana. Maana naww uko nyumban kwako ungelala lkn kamoyo kanakuuma, unamtaman. Alafu kumlaza mtoto wawatu uko.


Serious, wanawake mnaroho nzuri sanaaa, nakama Msingeumbwa, Dunia ingeboa sana.


Naomba unikaribishe mkuu. Vile sinaga haraka, hata km ni 2023 nitasubiri tuuuu ,sinaga Haraka mahali ambapo Tumain lipo

Nitashukuru sanaaaaaaaaa !!!!!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom