deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
- Thread starter
- #21
vifaa kama hivyo hapa kwetu haviwezi kuingizwa, vitaathiri wananchi....
umeona eee watu watavitumia kama silaha ya kufanya malipizi
vifaa kama hivyo hapa kwetu haviwezi kuingizwa, vitaathiri wananchi....
Home kwangu nakufungia mimi mwenyewe kwa kifaa maalum
Umuondoe kundi lipi? la watu wenye matatizo kama wewe? just hear mfumo dume uliojaa kwenye maneno yako, kichwa chako na akili yako. You make me sick!
Hahaha we sasa umekiongezea matumizi yake
Kina nyembe kwa ndani nini? Duh!
wewe cha nini ?
Hapa bongo kinapatikana wapi?
Nahisi kama kina leta raha vile
Khaa!
Huogopi kupoteza bikira yako?
Ukipata nielekeze........mimi nakitafuta alibaba......
Kwani kinaning'ata mpaka mimi.......?
Hakikung'ati ina kutakupasha joto na kutekenya
Una uzoefu sana na hiki kifaa mkuu.......