Wanaume msiumize wanawake kimapenzi be ware of new device

Wanaume msiumize wanawake kimapenzi be ware of new device

kilichopo ni kwa ajili yako usimwage kuku kwenye mchele wengi

(sijapachia)

Hahahaha...mzee wa rivasi..kizuri nataka nigawane na ndugu yangu Preta bhana...
 
Last edited by a moderator:
Wabakaji watatumia njia ile ya tigo sasa.. Au walete na cha tigo kabisa mtu anakuwa nazo 2.
Kuna kifaa kipya kimetengenezwa South Africa kwa ajili ya wabakaji ni shida, ila nahisi wanawake wengine wanaweza kufanyia matumizi mabaya (Revenge to their men). Ukimuumiza kimapenzi anaweza akavaa kifaa hicho ilimradi akukomoe

View attachment 189866
.... detail zaidi ziko hapa (https://www.facebook.com/kccnfm100/...35259636751/10152347003821752/?type=1&fref=nf)

CC: Kibo10, @brenda18, @Prettinho, @Preta, @mamaafacebook, @Hornet, @nzara, UPOPO, bila kusahau lara 1 na @Evelyn Salt

Unasemaje kuhusu hiki kifaa ?
 
Last edited by a moderator:
Mbona vikubwa si watatunua bana wavipunguze ukubwa ah kuna size tofauti tofautii
 
UPOPO hicho unakitumbukiza kwenye kitu yako kisha ndio unavaa chupi, inakuwa kama umeweka nyoka ndani ya kitu yako kisha mdogo ameuacha wazi mwanaume akikubaka ananasa kila akijaribu kutoa kuna vimeno vina kata kata dudu
Kwa hiyo na mwanamke naye ananasa au yeye anatoka..?? hivi kwa jinsi kiligyo..mwanamke akitembea hawezi kuhisi kama anagegedwa na hatimaye katikati ya kariakoo akaachia mambo..??
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo na mwanamke naye ananasa au yeye anatoka..?? hivi kwa jinsi kiligyo..mwanamke akitembea hawezi kuhisi kama anagegedwa na hatimaye katikati ya kariakoo akaachia mambo..??

hahahaha hiyo sijui
 
Umeona eeenh product muhimu kuwa nayo hii

Naskia kinaleta kansa ya uke, haswa sehemu zenye joto, naona wanajitahidi kuwapunguza wanawake, wamewaletea nguo za ndani za ajabu wakashtukiwa sahv hamvai, sasa wamekuja kwa style ambayo watawashika wengi.
 
Ilete tu kansa na magonjwa yote,,,,,, jibu ni tunaitafuta tutumie over
 
Back
Top Bottom