Wanaume msioe mwanamke wa aina hii

Wanaume msioe mwanamke wa aina hii

Me naona waivyo ndio wakuowa sasa demu unamtongoza siku 1 anakubali mpaka unampata atakuwa kashakuwa cha wote uyo
 
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
Hiyo ni tabia mbaya sana kiongozi mstaafu, sijui hata unatufunza nini
 
neno lako sio Sheria,
 
Back
Top Bottom