Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,448
- 11,107
Mkuu habari yako? Hiyo ni maradhi ya ngiri ya mshipa nione mimi ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Juzi(jumapili) niliisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nkayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe.
Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma saaana, ninavyo hisi scrotum ndo inaniuma zaidi,,yaani utadhani umewekewa kaa la Moto[emoji24]..
Je kiuno kuuma nayo ni ngiri mkuu maana n mwaka wa pili naumwa kiunoo ila naishi ivoivo na xray nimepiga hamna kitu naomba muongozo mkuuMkuu habari yako?Hiyo ni maradhi ya ngiri ya mshipa nione mimi ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
DaaaaaMkuu habari yako?Hiyo ni maradhi ya ngiri ya mshipa nione mimi ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Duuu sijakuelewaUsiuziwe ntambalanyanye.. [emoji849] una matatizo ya wale jamaa zetu kupiga hela
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Nenda hospitali... Huko utapigwa sasa hiviii.Daaaaa
Ni sawaaatunapitaga na sie KE.
macho hayana pazia.
No kuuma sio ngiri ni maradhi mengine. Una kilo ngapi? Una miaka mingapi? Umeshawahi kupima figo lako?Je kiuno kuuma nayo n ngir mkuu maana n mwaka wa pili naumwa kiunoo ila naishi ivoivo na xray nimepiga amna kitu naomba muongozo mkuu
Kuhusu kilo nimecheck bmi iko sawa ila figo sijacheki kwani huwa inachekiwa vipi mkuuKiu
No kuuma sio ngiri ni maradhi mengine. Una kilo ngapi?una miak mingapi? umesha wahi kupima figo lako?
Kapime mkojo kwa ajili ya figo.Na pia pima damu full blood picture Damu itaonyesha kila kitu mwilini je kinafanya kazi au hakifanyi kazi vizuri?Kuhusu kilo nimecheck bmi iko sawa ila figo sijachek kwan huwa inachekiwa vipi mkuu
Nashukuru sana kumbe inafanywa kwa njia ya mkojo tuu niliogopa nikajua wanafanya upasuajikapime mkojo kwa ajili ya figo.
Figo ni dakika 30, ushapewa majibuNashukuru sana kumbe inafanywa kwa njia ya mkojo tuu niliogopa nikajua wanafanya upasuaji
Ukipima Damu na Mkojo ndipo itakapo onyesha unayo maradhi gani yanayo kusumbuwa mwilini mwako. Huenda una upungufu wa Vitamin na madini mwilini mwako.Nashukuru sana kumbe inafanywa kwa njia ya mkojo tuu niliogopa nikajua wanafanya upasuaji
Asante bossFigo ni dakika 30, ushapewa majibu
Sawa sawa mkuuuUkipima Damu na Mkojo ndipo itakapo onyesha unayo maradhi gani yanayo kusmbuwa mwilini mwako. huenda una upungufu wa Vitamin na madini mwilini mwako. Damu na mkojo isipo onyesha maradhi utakuwa unayo maradhi ya elimu ya giza mambo ya kiuchawi utanitafuta kwa wakai wako ilinipate kukutibia maradhi yako.
Pima vidonda vya tumboJe kiuno kuuma nayo n ngir mkuu maana n mwaka wa pili naumwa kiunoo ila naishi ivoivo na xray nimepiga amna kitu naomba muongozo mkuu
hospital pia wanapiga hela kawaidaNenda hospitali... Huko utapigwa sasa hiviii.
Maumivu yake hatar saana mkuu huo ugonjwa ulinisumbua acha tuJuzi(jumapili) niliisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nkayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe.
Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma saaana, ninavyo hisi scrotum ndo inaniuma zaidi,,yaani utadhani umewekewa kaa la Moto[emoji24].
Nimepata homa flani Jana Leo imetulia, nilipojaribu kupga mechi(sex) mzigo umesimama fresh na nkapiga mechi, Ila ukigusa korodani ya kushoto inauma especially maeneo ya juu.
Korodani ya kushoto imevimba kidogo na kuwa ndefu kidogo kuliko ya kulia, ya kulia haiumi kabsa ipo fresh.
Nilikuwa village kwenye likizo,Kuna ka dispensary sijaenda nkasema niombe ushauri ili nkienda hospital niende hosipitali kubwa.
Wakuu huu ni ugonjwa gani maana toka juzi maumivu hayajakata,,