Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,723
- 11,336
Hivi inakuaje mwanaume anakuja kutafuta mwanamke wa kuoa hapa Jf.Ina maana kashindwa kabisa kuwaona wanawake mitaani.Kiukweli wanawake ambao hawajaolewa na wanaohitaji kuolewa wapo wengi mno mitaani.Nenda maofisini mna wadada wengi tu sehemu mbalimbali za kazi madada wapo wengi mno hawajaolewa.Inakuaje watu watafute mke wa kuoa. humu?
Msaada naomba lakini. wewe ni ke or me
kama ni ke hujaolewa?
tatizo hao wahuku mitaani ni maringo kitu unakuta mtu ndo uko serious ushampenda shost kumtongoza mpaka aje akupe jibu mwezi mara oh nina mtu wangu mara siko tayar kwa sasa nisubori mwaka 1. mara njoo kesho notakujibu.nawakati huo bado ipo kwenye mchakato anataka vocha wewe hakupigii anakubip vocha yako wanapigiwa wengine.shida yote ysnini?nakuja humu napata mwenye shida kama mie tunaanza maisha.
it's a personal preference.

Kwani wa humu ni wa wapi, si ndio hao hao wa ofisini na mtaani na kila mahali.

Wengi wanafanya mbwembwe tu;
Hapa jf hakuna ndoa kabisa ni kitu ya kuchangamsha jukwaa tu.
Kwahiyo hawa wahumu JF wanaishi mbinguni.....??????
Wengi wanafanya mbwembwe tu;
Hapa jf hakuna ndoa kabisa ni kitu ya kuchangamsha jukwaa tu.
Daudi mi me bwana
Ha ha ha nami natafuta mke wa pili aliye tayari ani PM.
mbona umejibu kishosti 'mi me bwana'