financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,192
- 43,533
Tattoo ya mtu ndo unaweza kuiongelea?? Back off mjifunze lifestyle civilization.Hehe ustawi wa kipato cha familia yangu unataka niongelee mitandaoni? [emoji23] Wewe sio mzima kunywa maji ya baridi halafu upumzike kidogo
Wanaume mnawachukulia aje wanawake wanaojichora tottoo? Hasa wale wanaochora tattoos kubwa kwenye mkono, kwenye kalio au mapaja? Mimi mwanamke au mwanaume akichora tattoos kubwa kubwa namuona kama mchafu tu hata sipendi tattoos.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakuta jitu zima kabisa limekaa nyuma ya keyboard linatype , "Mm spend mwanamke mwenye tattoo wala mwenye bleach,," Yaan ushamba wao sasa imekuwa sheria. Wanakera sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaSijawahi kupendezwa na Tattoos, naona ni chemicals tu kwenye ngozi aargh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni under 18 mpaka unaogopa wazazi?Napenda tattoo kinyamaaaaa ila ndio vile baba na mama hawatanielewa....na kazini pia
Duh 😂Kuna mmoja alijipendekeza kwangu mpaka aliniomba namba nikakataa,tatoo huwa naziona kama ukimwi umetokeza kwenye ngozi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nyie wanaume hamjulikani mnapenda nini. Hapa mnawasema halafu huko nje mnawafata 😂Hao ni malaya kama malaya wengine tu..
Mtu unayejiheshimu huwez kuwa na mwanamke wa aina hiyo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hata msichana uwe mrembo wa namna gani, nikishaona una tattoos akilo yangu inaghafilika.Sijawahi kupendezwa na Tattoos, naona ni chemicals tu kwenye ngozi aargh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, sawa sawa ,naweza kuungana naweNawachukulia kama wanavyo jichukulia wenyewe
Kifupi ndio hivyoMimi binafsi naona anajiuza na anajitangaza waziwazi...
Zamani Dar ilikuwa hivyo
Wale wanaojiuza wanaweka tattoo kuvutia wateja wazungu..
Wapo siku hizi wanaoiga Tu kama fashion but Mimi nawaona wote makahaba wanaojiuza
Mm nakwambia ukimuona mdada kachora tattoo Vaa CondomsWanaume mnawachukulia aje wanawake wanaojichora tottoo? Hasa wale wanaochora tattoos kubwa kwenye mkono, kwenye kalio au mapaja? Mimi mwanamke au mwanaume akichora tattoos kubwa kubwa namuona kama mchafu tu hata sipendi tattoos.
Kwani wewe ni under 18 mpaka unaogopa wazazi?
Aisee, ila kuna wanaopenda ,kuna mtu alikua anasema siku akipata hata mke atamwambia achore tattoo tena kwa waist, ili awe anaiona vizuri[emoji848]Mi hata msichana uwe mrembo wa namna gani, nikishaona una tattoos akilo yangu inaghafilika.
Sent using Jamii Forums mobile app