Wanaume mnawachukulia aje wanawake wa hivi?

Wanaume mnawachukulia aje wanawake wa hivi?

Mimi binafsi naona anajiuza na anajitangaza waziwazi...
Zamani Dar ilikuwa hivyo

Wale wanaojiuza wanaweka tattoo kuvutia wateja wazungu..
Wapo siku hizi wanaoiga Tu kama fashion but Mimi nawaona wote makahaba wanaojiuza
Hata mimi nawaonaga ni wahuni tu awe mwanamke au mwanaume.
 
unakuta mtu mweusi kachora tatuu nyeusi unaweza ukafikiri ana utango tango, labda watafute utaalam wa tatoo kuwa nyeupe. Waswahili vingine havitufai kabisa.
Matokeo yke wanaonekana kama wachafu wana mabaka mabaka
 
Huu ushamba wa wapuuzi wachache kuongelea Tattoo na Bleach kila siku umetoka wapi?? Kwanin msiongelee mambo yenye tija katika ustawi wa kipato chenu au familia zenu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe ustawi wa kipato cha familia yangu unataka niongelee mitandaoni? 😂 Wewe sio mzima kunywa maji ya baridi halafu upumzike kidogo
 
unakuta jitu zima kabisa limekaa nyuma ya keyboard linatype , "Mm spend mwanamke mwenye tattoo wala mwenye bleach,," Yaan ushamba wao sasa imekuwa sheria. Wanakera sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua umechora tattoos na sasa unajuta 😂 calm down kila mtu na mtazamo wke unachokipenda wewe sio lazima na mwingine akipende
 
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women — do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies that make the babies - 2 PAC ( KEEP YA HEAD UP )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom