Wanaume mnataka nini

what men want if for a lady to be pretty and offer sex without commitment. deliver those two and u will always keep him coming back
 
A man's basic needs:
1. FOOD
2. SEX
3. SILENCE
We don't ask for much, just the three above named items.
 
Haya mambo kama ni kweli unamfanyia jamaa niko tayari kufanya mapinduzi na kutangaza nia
 
ukisema uwaze mwanaume muda wote anachokukwaza utakonda bibie dawa fanya pilika zako km huna shida vile....:juggle:
 

Kwangu akija simuombi hayo yote anifanyie bali nitamfundisha hayo ili aone kuwa yeye mwenyewe anashiriki ipasavyo! Najuwa kuwa huu ni wakati wa kuwezeshana na sio wa ktegemeana!
 
ukisema upoteze muda kumwaza mwanaume na kero zake utakonda bure...dawa yao hao ni kupiga mzigo tu (kazai) km huna shida vile their always maproducer wa stress.:juggle:
 
jestina iyo balaa kwani wanawake tumeumbwa kuwafuRAHISHA TU WANAUME MBONA NA WAO waSITUFURAHISHE

Kwani wewe unataka kukasirisha? Kama hiyo ndiyo itakuwa nakufurahisha basi niko tayari unikasirishe ili wewe ufurahike. Kwani ile kupokea zawadi uliyosema hukuiiomba si kufurahishwa kwa mwanamke huko? Iwapo aliyosema Jestinai unayaita kuwa ni furaha ya mwanamme tu basi kumbe tatizo ni wewe si wanaume.
Hata hivyo pengine huko ulikotoka mambo hayakuwa mazuri, kwangu mimi bado nakuhakikishia kuwa tutafurahishana kwa hayo hayo uliyoyaona huko ulikotoka kuwa ni Furaha ya Bwana tu. Njoo mwezangu nikuosheshe hayo ya jesta yana raha na furaha kwa mwanamke pia.
 
kuna mtu hapendi furaha

Mradi mimi nitafurahi kuwa na wewe sijali mwengine akiwahana furaha. Tatizo lako ni kujuwa nini ninachokitaka na nishakwambia, sitaki chochote isipokuwa wewe tu!
 
ukisema upoteze muda kumwaza mwanaume na kero zake utakonda bure...dawa yao hao ni kupiga mzigo tu (kazai) km huna shida vile their always maproducer wa stress.:juggle:

kweli mapenzi nitaishia kuyasoma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…