Wanaume mnataka mgundue nini

Mima usiseme wanaume.coz unawajumlisha na wale ambao hawana hizo tabia. Sema baba ako wa kambo anatafuta nini.

Real gentlemen hawana tabia za kijinga.
 
Mima usiseme wanaume.coz unawajumlisha na wale ambao hawana hizo tabia. Sema baba ako wa kambo anatafuta nini.

Real gentlemen hawana tabia za kijinga.
Huoni wanaume mwenzio huko juu wanavyosema mwanaume lazima ubadilishe radha hawa wapo kundi gani nao
 
we kiboko si kwa mbebisho huu mwenzio hoiiiii hukuu 😉
 
Bhana nimekosea kutype ni bonge ndio imekuja binge.....waswahili tunaelewana kibishi
Haaaaaaaaaaa wewe unachapiaga sanaaaa hata wasap unachapiaga sanaaa unaishia kusingizia simu ngoja nikuchekee jamaaaaan nmecheka mpaka mbav zinaumaaa
 
Na unakuta mtu ana mke mzuri tu ndani
Mtihani tunao
Sasa hapo ndio ushangae ukimuangali mke na huo mchepuko mbingu na ardhi ...wananume wanauma na wanawake wanawaka ha ha ha ha haaaaa
 
Kuna mwanaume ana wake 16, lakini kuna siku alishikwa ugoni akiwa na mke wa MTU. Ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume wana tabia za jogoo anayetaka kumiliki tetea wote waliopo mtaani.
Kuna usemi eti mwanaume ukimuwekea wanawake mia chagua mzuri kuliko wote bado ataumia kuwaacha wale 99 waliobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…