Wanaume mnatafutaga nini?

Kwa vile hutaki kuamini, sawa, fuatilia comment zangu
Ilimjua sana tu sema kuna vitu(maslahi) ulifata zaidi ya mapenzi sasa vuna ulichopanda, ni ama kuachana nae au uvumilie hivyo hivyo, staki kuamini kuwa ameanza tabia hiyo ukiwa nae, laa alikuwa nazo ila wewe ukadhani anaweza kubadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu maradhi unasemaje? Nimeumia sana, sikutegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, Ila mie Ni mama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gyole chukulia kawaida ili maisha yaende sawa hii dunia tunaishi tu kwa kuwa hatuna nmna ya ku escape.najua unaumia sababu ya upendo wako kwake kikubwa umejua vilivyojificha kwake songa mbele
 
alikuoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nae ukawe wa21 kwengine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimpenda yeye kama yeye au ulipenda pochi. Kama anaweza kuwapanga kwenye mstari na wote mkaridhika hela anayo na ndicho ulichofuata wewe.

Ukadhani ukimpa puchi sana ataridhika, hiyo kitu na wenzako wanayo na huenda z huko K ni bora kuliko yako.

Kubali matokeo si ulifuata hela. Hata ukimwacha utamtafuta mwenye hela ndefu kwanza ndio ujichomeke kwake, eti wewe mzuri atakupenda tu.

Kwenye ndoa pochi ukiweka mbele sana utaingia mkenge, jiridhishe na mambo mengine.


Nyie mnaopenda hela mnatiwa saaana halafu mnatupwa nje au mnakimbia wenyewe.


Naona umejifunza sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiumize kichwa kuna wanaume ,starehe yao ni wanawake,kama umejua na una wanao jitoe mapema asikuliletee ugonjwa kuna rafiki yangu alikuwa anavulilia mpaka anakuta kondom ilotumika kwenye gari,amekwenda akashangaa homa kwenda kilupima ,ngoma ,kumbe mwenzie alishaanza kitambo kutumia ARV ,so simama mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikurupuke, usikariri, halafu hekima ndogo ukiitumia itasaidia wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…