Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,712
- 4,026
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaofurahia mapenzi mara nyingi ni vipofu na viziwi,ukitaka wako peke yako utateseka sana hapa duniani, shika hiloYaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimpenda yeye au umasikini wa nyumbani kwenu ndiyo chanzo cha mahaba yako kwake.....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ndo tulivyo. Hata ukinikuta live kifuani kwake nitakataa kata kata kuwa hukunikuta kifuani kwake.
Huwezi hizo ni hasira za leo baada ya mwezi utakuwa umesahau ukitaka wa kwako pekee yako muumbe mwenyewe ila hao mnaokutana nao wote ukubwani mkiwa na meno. 32 wote wako kama hyo kikubwa achepuke ila asilale nje ya nyumbani wala asikudharau kiufupi asioneshe mabadiliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli humu kuna great thinkers..!Tangazo lako tumelipokea.
Tumelisikia, tumelielewa, tutalifanyia kazi baada ya huu msimu wa sikukuu kuisha.
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hallelujah!Njoo kwangu sifikirii kuwa na mchepuko, sijawahi kuwa na mchepuko sina haja ya kuwa na mchepuko! Utakuwa wewe tu kuongeza mwengine labda mungu apende! Maana mimi ni nani hadi nikatae agizo la bwana..? Akiniletea mwengine nikakataa nitakosa thawabu!,Mimi si mkaidi kama farao!! Bwana na atende..
Usiogope hayo ni kama bwana akitaka ila asipotaka mi sitapinga pia nitakuwa nawe tu milele yote.. ila napinga vikali na kukemea kwa sisi wanaume kuwa na michepuko ambayo kwayo si kutoka kwa baba!!
Tanzania bara inazaidi ya hiyo mikoa kwahiyo shukuru hao kumi ni wachacheNimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti
Umemkomaliaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Una muda mrefu wa kutafakari ukiona inafaa fanya hivyo.
Zingatia January mwishoni. Kila la heri🚶