Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
Kuna vijana wanamafuta ya kila aina kule maghetoni!Sikumbuki mara ya mwisho kununua mafuta ni lini
maana mafuta yenyewe nilivyoyatumia dahh
Hata wasipochangia najua watasoma!Sawa mkuu ujumbe umewafikia,
Wakiwazidi dada zao kwa Urembo tunawaloweka n hiv idad ya wanaume ni chacheMembers wote, nawasalimu ktk jina la JF
kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "wanaume orignal tumebaki wachache"
hii ina ka ukweli.
huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa sasa nao pia wanataka kuwa "warembo"
baada ya dada zetu kusema wanapenda wanaume ma handsome, (achana na wenye hela)
vijana wakaona isiwe shida:
sasa
~wanatumia zile dawa za nywele aina zote (zikiwemo zile za kufanya kamtelezo flani, mm sijuwi jina lake)
~wanatumia zile dawa za kupaua uso (zinazoleta uzungu flani)
~haya marosheni ya kufanya ninini n.k
kijana jiamini wewe!
acha kuwa "kijana wa hovyo" kama anavyosema mdau mwingne wa hapa jf
neno "tafuta pesa" hapa lisitumike kwa sababu wapo vijana wana pesa lakini nawao...
aisee inaskitisha! Kuanzia leo "jiamini"
Muelewe mleta mada kamaanisha wanaume nao wanajipodoa kama wanawake hali hii inapelekea wanaume kwa wanaume kutamaniana coz kuna wanaume warembo + kujipodoa=ushogaWewe endelea kunuka kama Beberu, hao vijana wasafi ndio wanaokumbatia wake zenu
Hayo ya Wanaume kutamaniana na Ushoga umeyaweka wewe, wala usimlishe maneno mtoa mada,Muelewe mleta mada kamaanisha wanaume nao wanajipodoa kama wanawake hali hii inapelekea wanaume kwa wanaume kutamaniana coz kuna wanaume warembo + kujipodoa=ushoga
mwanaume kujipodoa kama mwanamke ni kutokujiamini.. chanzo cha ushoga, mimi sijuwiHayo ya Wanaume kutamaniana na Ushoga umeyaweka wewe, wala usimlishe maneno mtoa mada,
Akili yako inawaza ufirauni tu, kweli mitandao inaharibu wengi
wewe ni dume la mbeguMimi natumia mafuta ya kukamua ng'ombe na mambo yako poa tunasongesha gurudumu mbele.
Huu uzi unamhusu nabii mkuu jeo dev pamoja na pm katelefoni, naomba uwatag wapate ujumbeMembers wote, nawasalimu ktk jina la JF