Wote wawili (Mwanamke na Mwanaume) kila mmoja kuna sehemu yake hakufanya inavyopasa.
Unajua hujaolea, upo kwenye siku za hatari, bado unamruhusu tu afanye ''atakavyo''
Mwanaume kukataa damu yako ni Laana sana. Lazima kila mtu AWAJIBIKE kwa matendo yake.
Eeehh maana hatuna namna nyingine sasa.
Kwa kawaida kosa huwa la mwanamke, ni wanaume wachache ambao wanataka watoto alafu wanawakataa, tatizo linakuja wewe umeomba kiburudisho, kwa mbwembwe nyingi na kuombwa fedha mbele unakubaliwa, huyu akiwa anajua siku zake za hatari, nani anataka hamuhesabie hzo siku, kama ana wasiwasi wameambiwa, wakale majivu kabla ya tendo, au akachome sindano, wewe unakuwa na family plan yako huyu akikuingizia mtoto ambaye mama yake hukumpanga inakuwa tabu.