Wanaume mnajiamini sana aisee

😅😅😅
 
No wa hivyo wanakuwa wageni kwenye industry,ukiwa mgeni mikoani unaishi na huyo huyo receptionist utakaemsainisha mizigo yako hapo kaunta.

Yeye ndiyo dhamana yenyewe.
 
Wanawake sio waoga , mtu hajakuja kujitambulisha kwenu unamvulia nguo ! Mtakula kutolewa figo bure.
 
Mimi ni muoga kwa kweli nikiwa ugenini napiga master kimoja najilalia zangu fresh
 
Na hiyo anayekuja naye ni jasiri, maana unaenda kulala na mwanaume humjui, labda anachuna ngozi, labda mchawi, labda ana maumbile makubwa mno, labd wapo wengi, kwa sh 20k unaenda kulala naye
 
Vipi na aliyeitwa akaja bila kujua anakuja kwa nani na atafwa nini cha zaidi??
 
Umenena sahh. Kuna miaka flan baada ya kuita mzigo hotel nikamla, tulipomaliza tukawa tunapiga story za hapa na pale nikamuuliza hili swali. Nilianzia mbali kidogo kwa kuuliza "kwann unafanya hii kazi mdogo angu?" Akanipa sababu.
Nikamuulizia "una exit plan?,kwamba after sometime ufanye shughulo zongine mbali na hiz?" Hakunipa jibubla maana.
Nikamwambia "jitahid uwe na plan, tafuta pesa kwa malengo,hii kaz yako ni hatar sana. Mfano umekuja humu ndani, mimi hunijui, hujui nina nini kwenye bag, huwenda ni mchuna ngozi je?? Na wewe ni binti mdogo sana, vipi kama mimi no jambazi nikakuua humu ndani?"
 
Ana hoja msikilize
 
Hatari sana Bro, wenyewe hawana muda wa kufikiri hayo.
 
Vipi mzee katumia pesa yote ya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…