Wanaume mnajiamini sana aisee

Tangu dunia ya Adam hadi hii ya Putin watu wanakulana na uzinzi hufanywa kila sekunde na mvua hunyesha, na wakati mwingine hugoma tu.
Mwaka jana mvua ilinyesha za kutosha. Je watu hawakufanya uzinzi sio?
Kila jambo lina sababu zake, na si kila tukio lina uhusiano wa moja kwa moja na jingine.
 
SweetyCandy nipo hapa Dodoma hotel, naweza kukuona usiku huu, nina upwiru kinoma?
 
Pumboor likijaa wanahangaika

#justice for@tumbili wa mjini
 
Kuna ntu katekwa huko au kuna nzi kafia kwenye kidonda
 
Mbona kama ulichoandika ni vice-versa me binafsi wanawake ndo naona mpo hatarini sana imagine nakurequest kama bolt unakuja maeneo yangu ambayo hata hupajui ili ule hela yangu nikukule… Je, kama mimi nafanya biz ya viungo vya binadamu?

Ukiitwa mazingira jua aliekuita yeye binafsi yupo safe 80% ila wewe unaeenda ndo unabaki na 20%

Imagine sasa umefika mazingira unakuta labda mi michezo yangu ni ya behind borders una nguvu ya kukataa nikiforce?

Wanawake inabidi muwe na hofu kidogo jamani kha!
 
ni jambo la maana na muhimu sana kwa mwanaume kamili kujiamini, kua smart, focused na jasiri katika mambo ya maana na ya msingi kimaendeleo,

sinashaka yoyote,
unawazungumzia wanaume suruali, ambao ni tofauti kabisa na wanaume kamili right?

huenda ndio haswaa wenye sifa na tabia ulizozitaja na kuzieleza kwa kina kwenye hoja yako ya msingi.
Hata hivyo, wanawake acheni kujirahisisha, jitengeni na umalaya na kusagana 🐒
 
Utaachaje mtoto kama huyu, goli moja laki 2; anakupa huduma ya kuukanda mwili, ana blowblow, tititiii; ungekuwa wewe ungefanyaje ? 😀😀


Wengi sisi tumeoa au tuko na wapenzi wakawaida ili watupe tulizo la akili nyumbani, na si kwa ajili ya tendo; ndio maana bado tunatamani vya nje kwa sababu ni vizuri kimuonekano.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…