Wanaume mnajiamini sana aisee

Wanaume mnajiamini sana aisee

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,796
Reaction score
8,979
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.

Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .

Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.

Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.

Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.

Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .

Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.

Goodevening Equation x
 
Hayo ndio mambo ya kiume Sasa, heka heka na mbilinge mbilinge kama hizo ndio zinatuweka sawa kichwani.
Mwanaume huwa hatuliii Hadi atulizwe na kitu kizito.
Lakini nyie wanawake Kuna umri ukifika mtulia wenyewe ila unakuta mwanaume ni kibabu lakini yumo tu, Yani humu tuuuu
 
Huu uzi umekuja kinyumenyume. Ujasiri wa mwanamke kukubali kuingia chumbani na mwanaume usiyejua katokea wapi. Wanaume wengine wamekimbia noma kubwa kama za mauaji au kutoroka jela lakini mnakuwa comfortable kujifungia naye chumbani, tena mnalala chali na kutanua miguu, hamuogopi kuchinjwa? fear who don't fear women.
 
Kuzungumzia ligi ya Ulaya wakati ya Nchini kwako huongelei inakuaje hapo? Acha mambo yaende hivyo hivyo ni risk tu. Maisha yenyewe yamejaa risk kwahiyo bila kuamua ku take risk hakuna Raha. Traders tunasema, No risk no Felari 😅😅
 
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.

Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .

Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.

Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.

Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.

Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .

Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.

Goodevening Equation x
Uw
Kama machine inadindaa kisawasawa hapoo uwezi laumu mtu🤣🤣Akili huruka mama likitusimama🤣🤣Hata chizi akijipitisha linaweka Alama.
Get rich or die trying,
Get mbususu or die with upwiru
 
Back
Top Bottom