Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
Wanajamii ni jumatatu nyingine.

Tuongeze maarifa kidogo! Asubuhi hii nimepanda Noah kuelekea kibaruani kwangu, abiria tulikuwa km 10 na wajinsia tofauti.

Mada ya mahusiano ikaja Ilianzia katika taarifa ya radio kutoka magazetini kuwa, kuna kisanga kwa moja ya wanandoa, sababu ikiwa ni matokeo ya DNA.

Hayo tuyaacheMjadala ndani ya Noah yetu ulihusu usaliti katika mahusiano!Kuna mwanadada wa rika la kati, yeye alitoa malalamiko yake na shutuma kwa wanaume wasomi.

Anasema wanaume wasomi, hasa wenye ajira wanachangia sana wanawake kuchepuka Kwa vile wamefeli kutumikia mabwana wawili huku ajira huku mke.

Anafafanua kuwa, hawa wanaume hawaishi safari za semina, warsha, mikutano na pia kurudi nyumbani late hours wakiwa wamechoka sana na kushindwa kutimiza majukumu ya kitandani.

Mwanadada huyu akatuma shutuma zngine kwetu na hasa wale wenye kusoma ngazi za elimu yenye kuhitaji uandishi wa pepa. Anasema mwanadada huyu kuwa, mwanaume yuko busy na paper research paper hana hata muda wa hugs, outings, love stories n.k.

Mbaya zaidi analalamika bidada kuwa inafika wakati mpaka usiku wa manane, jamaa yuko busy na paper! Jumamosi na Jumapili yuko busy na paper anamaliza kusema yeye, na kwa wanaume wa sampuli hii hapo juu, atagawa sana kikojoleo chake nje.

Anamaliza kwa ushuhuda kuwa marafiki zake wawili wanachepuka kisa, waume zao wameenda kufanya PhD nje na mwingine yuko busy na research paper.

Hili si la kupuuza Nimelileta kama shule kwetu sote naomba wanaume wenzangu tuliweke hili akilini na tulifanyie kazi kuona ukweli wake na magnitude ya athari zake kwa mustakabali wa mahusiano yetu.

Slim5.
 
cheating ni kama kilevi kingine, iwe sigara, pombe, bange nk... kama mtu yuko addicted to cheating atacheat tu, hata awe anatombwa au kutomba kila siku, tena hata awe na zana/nyeti za namna gani

cheating is mental not physical.... wapo wasiopata watakacho lakini hawahangaiki
 
Yawezekana kabisaaa!!!
 
kila kitu kinaanza na tabia ya mtu,na tabia ya mtu mara nyingi hujengwa na mazoea,tatizo la vijana wa sasa hivi na maanisha wote,wa kike kwa wakiume hawawezi kutulia na mpenzi mmoja kwa sababu tangu awali walizoea kubadilisha badilisha wapenzi,ndani ya mwaka mmoja mtu anaweza kuwa hadi na wapenzi sita,mtu huyu katu hawezi kuwa mvumilivu kabisa ktk mahusiano,vijana hawana uvumilivu kabisa tangu awali na ndio maana ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosa uvumilivu kwasababu wamezoea mapenzi ya Bluetooth(always connect when devices are near),tumeshakosea tangu awali na hayo unayoyasikia kwenye Noah ni matokea tu ya pale tulipokosea.
 
Hivi kuna mwanaume asiye busy maisha haya haswa kwa umri wetu wa kati huu???!!!!

Huyo uliyemsikia ni "ashki majinuni" hawakilishi wanawake wote. . . . . . . .

wanahangaika kujustify a mental situation

sometimes you just have to accept kwamba mbayuwayu wamekamata fursa ya kushadadia ujuha wao
 
Hata wasio wasomi na wasio busy nao wanachapiwa je hii nayo wewe na huyo abiria mwenzako mtaiteteaje? tatizo si kuwa kuchapiwa bali jamii imekengeuka kimaadili totaly na pia tumepokea utandawazi huku tukiwa tumefungwa kitambaa machoni na sasa ndiyo kitambaa kimefunguliwa hivyo tunakula madhara yake.

kwani na hao wanaume anaowasema kuwa wapo busy na wanaenda kusoma sijui huko ulaya hawakanyagi mbunye? mhemuko wa kufanya ngono ukikupanda hauna cha mume wangu anafanya masters wala phd na nijuavyo mbunye haina cha shupavu wala shujaa.
 
kila kitu kinaanza na tabia ya mtu,na tabia ya mtu mara nyingi hujengwa na mazoea,tatizo la vijana wa sasa hivi na maanisha wote,wa kike kwa wakiume hawawezi kutulia na mpenzi mmoja kwa sababu tangu awali walizoea kubadilisha badilisha wapenzi,ndani ya mwaka mmoja mtu anaweza kuwa hadi na wapenzi sita,mtu huyu katu hawezi kuwa mvumilivu kabisa ktk mahusiano,vijana hawana uvumilivu kabisa tangu awali na ndio maana ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosa uvumilivu kwasababu wamezoea mapenzi ya Bluetooth(always connect when devices are near),tumeshakosea tangu awali na hayo unayoyasikia kwenye Noah ni matokea tu ya pale tulipokosea.

Well said
 
hata wasio wasomi na wasio busy nao wanachapiwa je hii nayo wewe na huyo abiria mwenzako mtaiteteaje? tatizo si kuwa kuchapiwa bali jamii imekengeuka kimaadili totaly na pia tumepokea utandawazi huku tukiwa tumefungwa kitambaa machoni na sasa ndiyo kitambaa kimefunguliwa hivyo tunakula madhara yake. kwani na hao wanaume anaowasema kuwa wapo busy na wanaenda kusoma sijui huko ulaya hawakanyagi mbunye? mhemuko wa kufanya ngono ukikupanda hauna cha mume wangu anafanya masters wala phd na nijuavyo mbunye haina cha shupavu wala shujaa.

Mkuu keyboard yako ikoje?
 
Dah!!..haya sasa majanga..........Mtu ukiwa nyumbani unawaza hela nitaipata wapi ili niihudumie familia yangu...ukiwa sehemu za kazi unawaza sijui wife saa hizi anagegedwa..na nani??....mwisho wa siku mtu unakuta kaanguka ghafla na kapooza mwili mzima....kwa mawazo........
 
ooh,alituahidi maisha bora,maisha bora yako wapi?.
 
Back
Top Bottom