Wanaume mnachotaka nini hasa?

Wanaume mnachotaka nini hasa?

kwenye hiyo username yako toa herufi mbili za mwisho, hlf utaona kitu wanaume tunataka kunduva
 
Issue siyo kulala pamoja tu.kuna zaidi ya hapo kama wachangiaji waliopita walivyosema
Hahaaa.kuna mambo ya siri yanaendelea kwenye ndoa zetu tunahitaji neema.

Sikia, unakuta mke anapata Genye mara moja kwa mwezi au wakati mwingine hakuna kabisa.usipomshitua poa tu.hata hiyo mara moja moja inakuwa ya kuvizia vizia kama network ya simu mbali na mnara.vile wakati mwingine inakatika.unavizia kama unawinda ndezi vile.wakati mwingine kukiwa na mawingu ndiyo inapotea kabisa. Sasa wanaume wanaugulia ndani kwa ndani.nadhani pia hii inaweza kuwa moja ya sababu ya kuwa na wajane wengi.

Ukiujaribu kuuliza sababu,unaambiwa siku hizi nachoka sana shughuli
 
Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
Tatizo sio kulala naye, je anatoa huduma ya usiku, kama hatoi kwann mchepuko usihusike kuokoa jahazi
 
Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
jua kuna mapaungufu anakuwa nayo mke yanayopelekea hayo yote
 
Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
Mumeo ndo anakufanyia hivyo? Kama sio ulijuaje? Au wewe ndo mchepuko unayeombwa phone sex na huyo mume wa MTU?
 
Sasa we ukiombwa kidude unajifanya umechoka au ugomvi wa sebleni unapanda nao kitandani umejiunisha ili umkomoe?
Aliokwambia sie tunakomolewaga kwa kunyimwa K nani?
Bed ni for sex kwa wanandoa sio mahali pa kupumzika bila shughuli sasa kama we unahisi uliolewa ili ukapike chakula na kulala badala kutoa pusi endelea.
 
Back
Top Bottom