Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake
Shosti hapo kuna mengi sana mpaka mwanamme anakwenda kwa Mchepuko,sisemi wote wanakwenda au wanawake wote wana makosa ila wengi wanawapa michepuko nafasi kilaini sanaaa, mfano mwanamke huna mda wakuka na mume hata kumuliza siku yako leo ilikuwaje? mume akipiga cm unaongea nae kama mnaugomvi,chakula hata kumpikia mumeo,hata asubuhi kuamka kusema wacha nimpikie mume wangu chai hakuna mume anaamka kwenda kazini wewe ndio kwanzaaaa unamwambia asikuwashie taaa, hujui nguo ya mume ya ndani ilipo.
ukiamka saa4 Asubuhi uko online si wakuoga wala kupiga mswaki mpaka saa7 charge imekwisha ndio unatafuta maji yakuoga, chakula anaejua mnakula nini ni Dada, akipata mchepuko anae mjali japo anajua kama analipa little extra why asiende akatuliza nafsi?
Kulala nae cyo sababu mbona! Mpe mchezo uone kama atakuwa na muda na cmu. Lakini unalala mzungu wa nne alafu unalalamika c haki my dear.Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
amfanye mke wake
Katetero unasugulia kwenye port ya earphone sio...?Hivyo hivyo ukitaka kupiss unamwaga Kwenye screen
Huyo mke wake c wako nae kitandani ila kalala mzungu wa nne sasa jamaa c anajifariji na mchepuko wake kwa ahadi ya keshoamfanye mke wake
Hii phone sex siipendi mamake... Yaani sipendi kusikia hiyo laana!
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
mkuu si pouwaHuyo mke wake c wako nae kitandani ila kalala mzungu wa nne sasa jamaa c anajifariji na mchepuko wake kwa ahadi ya kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
unatisha mzeeWewe endelea kulala na hayo madela kuna siku watafanyia sebleni!
Phone sex hii tueleweshane hapo kwanza...?
Kwamba kila mmoja anagusisha uchi wake kwenye speaker ya simu au inakuaje...?

Shida yenu mnafikiri ukimpa kila siku atakinai; hiyo siyo ndizi nyama!Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
ShikamooKabla hujamlaumu na hyo phone sex yake why ulikubali kuwa mchepuko wake at first place? Unajua kazi na Wajibu wa mchepuko?